Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
Hii kodi ya simu itakuwa kiasi gani?Walipa kodi wakubwa ni wachache ila wanaendelea kukuzwa kila awamu. Mfanya biashara/Makampuni yanayoweza kutoa utlist b1 kila mwezi kwa kodi zake zote.
Hii kodi ya simu itakuwa kiasi gani?Walipa kodi wakubwa ni wachache ila wanaendelea kukuzwa kila awamu. Mfanya biashara/Makampuni yanayoweza kutoa utlist b1 kila mwezi kwa kodi zake zote.
Hakuna mtanzania asiyelipa kodi,iwe direct au indirect
Ndipo shida ilipo mkuuWengi hawalipi kodi. EFD machine wanachinga hawana.
Kule kijijini hakuna duka lenye EFD machine
Kodi wanalipa watu wachache sana
Hakuna cha huyu wala yule! Hakuna cha CCM wala CHADEMA! Wote mabwege tu! Miaka yote ya CHADEMA kukuwa wakiwa bungeni na kuwa chama kikuu cha upinzani, mbona hawajawahi kulaani wao kutolipa kodi?Kiukweli kilio cha wananchi huko mitaani kuhusu maumivu ya tozo za kizalendo au mshikamani kimekuwa kikubwa mno.
Wananchi wanawakumbuka Tundu Lissu, J J Mnyika na Zitto Kabwe na kusema hivi " vidume" vingekuwepo bungeni ama tozo hizi zisingepita au zingepita baada ya kufanyiwa marekebisho makubwa sana.
Wewe mdau unasemaje?