johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,897
- 141,833
- Thread starter
- #21
Hahahaaaa...... Ndio umeona sasaSijawahi kuona mtu mzandiki Kama wewe
Siasa siyo uadui bwashee!
Hahahaaaa...... Ndio umeona sasaSijawahi kuona mtu mzandiki Kama wewe
Sio asilimia 3% Watu approx 500 ndo big tax payer. Hawa wengine huwezi wategemea maana ni unstable mpaka wakuzwe. Tunataka kodi ikusanywe kwa watu wachache mpaka wafungiwe account zao bank yaani au wakimbie tuhamie kwa hawa wafanyabiashara unstable tufunge accont zao wakishindwa halafu mwishoni tubaki bila walipa kodi?Tunalipa kodi. 3% ya watanzania ndio waliokuwa wanalipa. Sasa hii ndio dawa yetu
Wengine kazi yao kudai serikali inawepe maendeleo. Hela za maendeleo zitatoka wapi? n
Walipo kuwa bungeni mkuliwa mnawatukanaKiukweli kilio cha wananchi huko mitaani kuhusu maumivu ya tozo za kizalendo au mshikamani kimekuwa kikubwa mno.
Wananchi wanawakumbuka Tundu Lisu, J J Mnyika na Zitto Kabwe na kusema hivi " vidume" vingekuwepo bungeni ama tozo hizi zisingepita au zingepita baada ya kufanyiwa marekebisho makubwa sana.
Wewe mdau unasemaje?
Kwa tume ipi?Bila kuiba tena kura CCM itapoteza majimbo mengi Sana kwa wapinzani ,kama watashiriki uchaguzi 2025
Iko wazi na inajulikana kbs ✔️✔️ Ila sasa ngoja waje vijana wako MATAGANIST hapa uone moto wake 😂😂😂Kiukweli kilio cha wananchi huko mitaani kuhusu maumivu ya tozo za kizalendo au mshikamani kimekuwa kikubwa mno.
Wananchi wanawakumbuka Tundu Lisu, J J Mnyika na Zitto Kabwe na kusema hivi " vidume" vingekuwepo bungeni ama tozo hizi zisingepita au zingepita baada ya kufanyiwa marekebisho makubwa sana.
Wewe mdau unasemaje?
Hahahaaaa........ Namuona mataga Babati hapa!Iko wazi na inajulikana kbs ✔️✔️ Ila sasa ngoja waje vijana wako MATAGANIST hapa uone moto wake 😂😂😂
Mti wenye matunda.......!Walipo kuwa bungeni mkuliwa mnawatukana
Ukiacha unafiki unaongea ukweliKiukweli kilio cha wananchi huko mitaani kuhusu maumivu ya tozo za kizalendo au mshikamani kimekuwa kikubwa mno.
Wananchi wanawakumbuka Tundu Lisu, J J Mnyika na Zitto Kabwe na kusema hivi " vidume" vingekuwepo bungeni ama tozo hizi zisingepita au zingepita baada ya kufanyiwa marekebisho makubwa sana.
Wewe mdau unasemaje?
3% ndio walipa kodi? Ile VAT iliyopo kny kila muamala unaofanya sio kodi? Kila mtu analipa kodi iwe directly au indirect. Ukiweka vocha tu kuna kodi hapo umelipia. Kitendo tu cha kununua kitu kwa mangi ambacho sio exempted with tax na wewe umelipia kodi. Huu mpango ulioletwa ni mpango tofauti na kodi walichofanya ni utapeliTunalipa kodi. 3% ya watanzania ndio waliokuwa wanalipa. Sasa hii ndio dawa yetu
Wengine kazi yao kudai serikali inawepe maendeleo. Hela za maendeleo zitatoka wapi? n
Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake 😂😂😂. Yaan pamoja na kuwatoa kweny ubunge mpaka huko mtaani bado mnawashutumu tu kweny hili? Uko nje ya bunge huna ushawishi wa kimageuzi wa kupinga hoja flan. Ila upinzani nchi hii unatupiwa kila baya, mara utasikia wapinzan wametuchelewesha sana 🤣🤣🤣🤣👆Wapinzani walitengeneza diversion ya hili jambo kwa kujua au kutojua.
Hata kama wapo nje ya Bunge lakini bado wakati haya yakifanyika Bungeni wao waliwekeza nguvu na muda kudai Katiba Mpya.
Huu ni ukosefu wa kujua nini Cha kusimamia na Kwa namna gani.
Tuna upinzani dhaifu Sana na usiokuwa na malengo.
Huyo tale anazurura tu hukoMmekabidhi mustakabali wa taifa kwa kina Babu Tale, Musukuma na na Gwajima.
Bunge la ccm limekua kama kikao cha kikoba.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu bwashee!Ukiacha unafiki unaongea ukweli
🤣🤣🤣🤣🤣Hahahaaaa........ Namuona mataga Babati hapa!
Sasa kama unajua hilo kodi ikiongezwa kidogo kuna shida gani? Kwani mahitaji yanapungua au kuongeza?3% ndio walipa kodi? Ile VAT iliyopo kny kila muamala unaofanya sio kodi? Kila mtu analipa kodi iwe directly au indirect. Ukiweka vocha tu kuna kodi hapo umelipia. Kitendo tu cha kununua kitu kwa mangi ambacho sio exempted with tax na wewe umelipia kodi. Huu mpango ulioletwa ni mpango tofauti na kodi walichofanya ni utapeli
Kwani na Mzee Mgaya analipa Tozo?😅😅Kiukweli kilio cha wananchi huko mitaani kuhusu maumivu ya tozo za kizalendo au mshikamani kimekuwa kikubwa mno.
Wananchi wanawakumbuka Tundu Lisu, J J Mnyika na Zitto Kabwe na kusema hivi " vidume" vingekuwepo bungeni ama tozo hizi zisingepita au zingepita baada ya kufanyiwa marekebisho makubwa sana.
Wewe mdau unasemaje?
Mijitu ya mjini ndio hio hio kina mwigulu, raisi wako na wenzie. Wewe unasema habari za vijijini hiyo ni kazi yangu au ya serikali. Si kila siku tunaimbiwa nchi ni tajiri kwanini mje kuumiza wananchi. Wabunge kwanini wasingesema wakatwe wao pesa zitumike huko vijijini? Hizi tozo kwani wanakatwa wa mjini peke yake au unajitoa UFAHAMU TU??Sasa kama unajua hilo kodi ikiongezwa kidogo kuna shida gani? Kwani mahitaji yanapungua au kuongeza?
Wabunge wamepitisha kwa sababu wao ndio wanajua shida za barabara majimboni kwao,maji,afya na elimu .. unadhani hizo pesa zisingeelekezwa huko wangekubali?
Nyie mijitu ya Mjini hamjui kwamba Vijijini wamama wanakufa kwa uzazi Kisa barabara mbovu na kusafiri umbali mrefu kufuata huduma za afya ,wanashinda kutwa nzima kutafuta maji wanayogombea na wanyama.,Kama kwamba haitoshi watoto wanasafiri umbali mrefu kufuata shule tena kwenye makorongo,hujamsikia Mtaka juzi?
Kwa hiyo unataka usitozwe hizo tozo Ili Hali iendelee, kwenye madini mnakopiga kelele Mwaka mzima mapato yake hayafiki hata bil.600 kwa aina zote za Madini .
Kazi imeshaanza
View attachment 1855566
View attachment 1855567
View attachment 1855568
View attachment 1855569
Serikali inakunya pesa za kutekeleza wajibu au lazima wewe ulipe ndio itekeleze? Lipa kodi acha kulia Lia hovyoMijitu ya mjini ndio hio hio kina mwigulu, raisi wako na wenzie. Wewe unasema habari za vijijini hiyo ni kazi yangu au ya serikali. Si kila siku tunaimbiwa nchi ni tajiri kwanini mje kuumiza wananchi. Wabunge kwanini wasingesema wakatwe wao pesa zitumike huko vijijini? Hizi tozo kwani wanakatwa wa mjini peke yake au unajitoa UFAHAMU TU??
Kodi nalipa sana tena kuliko hata wewe ila too much is harmfulSerikali inakunya pesa za kutekeleza wajibu au lazima wewe ulipe ndio itekeleze? Lipa kodi acha kulia Lia hovyo