Pengo awa PAPA mpya wa Kwanza wa Kiafrika

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,653
Tuone kama itawezekana subirini matokeo Rasmi... na kama akiwa Papa ataukana uraia wa Tanzania!
 
Heri aukane utanzania maana bahari yetu imejaa samaki,ye na usamaki papa wake atakaa wapi
 
Sasa mbona heading kama ya kuuzia gazeti la shigongo?

Umeona eeh! Kuna siku nilisoma Gazeti Kichwa cha Habari Kikisema Raisi akatiza Mitaani bila ya Ulinzi!
Kuna kusoma ndani wameandika Aliyekuwa Mgombea Uraisi kwa Tiketi ya Si yu efu Ibrahim Lipumba akikatiza mitaa ya Samora akielekea British kansel
 
Kanisa la Warumi lazima liongozwe na Mrumi au mtu mwenye kufananafanana na warumi. at last warumi wamefanikiwa kuongoza kanisa lao baada ya mnazi kuondoka!! elewa kuwa francins 1 ni mrumi aliyeishi argentina
 
Back
Top Bottom