Pengo aonya Mapadri kuji husisha na siasa

Kadogoo Dr. Slaa aliukana upadri siku nyingi, si ana mke? ama alipokuwa padri alipata baraka za pope akaruhusiwa kuoa?
 
Kama upadri sio taaluma basi Dr. Slaa hana Phd ya kweli, nijuavyo mimi ana PHD ya huohuo upadri. kama nimekosea nielimishe
=======

PhD si ya upadre bali aliipata akiwa padre. Upadre ni upadre hauna masters wala PhD. PhD ya Dr. Slaa ni sawa na nyingine zote walizo nazo watu wengine katika fani mbali mabli. Ya kwake nadhani ni ya Rural Develeopment au ya sheria.
 
=======

PhD si ya upadre bali aliipata akiwa padre. Upadre ni upadre hauna masters wala PhD. PhD ya Dr. Slaa ni sawa na nyingine zote walizo nazo watu wengine katika fani mbali mabli. Ya kwake nadhani ni ya Rural Develeopment au ya sheria.

heee!!!
 
Kama upadri sio taaluma basi Dr. Slaa hana Phd ya kweli, nijuavyo mimi ana PHD ya huohuo upadri. kama nimekosea nielimishe

Hakuna PhD ya upadri bali ya Theology ambayo mtu yoyote aweza kuisoma. Ni kama vile Divinity.
 
Je kusema hivyo anatoa maana gani kwa dr.slaa ambaye ni padri kitaaluma aliyejiunga na siasa?......?
Sometimes huwa najaribu kukataa wazo kwamba kuwa mfuasi wa CCM inabidi uwe na akili za punda, lakini sometimes huwa nashindwa..hivi Dr. Slaa bado ni padre?
 
Sometimes huwa najaribu kukataa wazo kwamba kuwa mfuasi wa CCM inabidi uwe na akili za punda, lakini sometimes huwa nashindwa[/U]..hivi Dr. Slaa bado ni padre?


utaumiza kichwa mkuu, watu wanaleta hoja na ku urge vitu vya kijinga kabisa, no wonder JK anapata watu kwenye kampeni zake
 
Mbona hiyo theology haifundishwi kwenye vyuo vyetu vya secular kama mtu yoyote anaweza kuisoma? Au mitaala yetu inamatatizo? lakini divinity inafundishwa kwenye secular schools.
Vyuo vyetu bado havifundishi kozi nyingi.University of Oxford imeanzishwa 1096-hiyo ni zaidi ya karne kumi -wanafundisha Theology,university of St. Andrews wanafundisha divinity pia.Vyuo vyetu kwasababu bado ni vichanga labda mbeleni vitaanza kufundisha.
 
Endelea kuwa boga! Elimu hata mjinga kama wewe unaweza ipata kama vile BSc, MSc ama PhD. Upandre ni daraja na wito. Ndo maana Maalimu ama Immam hata asome vipi hawezi kuwa padre. Umeeelewa wewe boga?

Ngekewa are you a blonde with big ass?
we mkuu mbona unapenda matusi sana au ndo wale wenzetu wa ndoa za jinsia moja zinazofungwa kwenye nyumba za ibada? Tuambie bwana kama yamekukuta mwenzetu ili tusikutafsiri kivingine.
 
Pengo naye nadhani alitaka asikike kuwa kasema katika issues hizi za uchaguzi. Hana jipya.
Ulimsikia alivyokuwa anampandishia JK Mwanza? Anamwambia prezidaa kuwa usituchagulie kanisa nini cha kusema wacha tuchague wenyewe la kusema.
Hakuna mtanzania hata mmoja asiyekuwa na mapenzi na chama including Pengo. Ninamaanisha mapenzi ya chama simaanishi uanachama wa chama. Hivi ni vitu viwili tofauti. Na Pengo yupo kati ya kimojawapo ya hayo mawili.
Na hivyo basi Pengo ni mpenzi wa chama gani?
 
CHAMA,
Kama Slaa aliukana upadre na akaozeshwa na Papa!! ajabu Papa amuozeshe Padre! any way lakini cha kushangaza zaidi ni kuwa First lady wetu mtarajiwa yaani mama Slaa yeye ni kiongozi wa CCM huku mumewe ni CHADEMA!! sasa huenda tukawa na Rais CHADEMA na first lady CCM! hapo patamu maana ndio mseto wenyewe huo!
 
Back
Top Bottom