Mkuu alihitajika mtu kama Makonda kufufua chama maana Chama kililoose popularity na wanachama walipungua kwa 30%Wazungu wanasema .. Shortcut is the longest way you were not going... Na Waswahel wanasema unaweza kuruka ndogo(haja) ukadhani umesalimika kumbe unaenda kukutana na kubwa
Na shida ya kubwa ni moja haichomi, haiumizi lakini ukiikanyaga lazima uchecheme kama aliyekanyaga mwiba ukamchoma akiwa peku ama ukiwa umevaa kiatu ama kobazi lisilo na soli imara!
Na shida ya kubwa ni moja ukishaikanyaga umeitibua uvundo wake wote
Utanuka wewe na wengine watakukwepa kutokana na harufu hiyo wasijue kutofautisha kama ni yako ama ni ya mwingine umeipitia tuu..!
Tunaaswa na wahenga tukiwa kwenye taharuki tusiwe watu wa kuchukua maamuzi ya haraka! Lakini kubwa kuliko yote kuepuka kuchukua maamuzi yanayotokana na ushauri wa kunguni na papasi
Chama kimeyakanyaga! Kinatoa uvundo mkali.. Wenye pua ambazo silika za kunusa bado zinafanya kazi wataanza kukikimbiaView attachment 2789168View attachment 2789169
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu mkuu kama usipomakinikaMkuu samahani ila sijapata point yako katika hili, labda unisaidie.
So lazma warudishe watu kama makonda kwenye system[emoji419][emoji375]Mkuu alihitajika mtu kama Makonda kufufua chama maana Chama kililoose popularity na wanachama walipungua kwa 30%
So lazma warudishe watu kama makonda kwenye system
Miaka 30 kwa mkataba upi sasa? Tuwekeeni mkataba huo..Wazungu wanasema .. Shortcut is the longest way you were not going... Na Waswahel wanasema unaweza kuruka ndogo(haja) ukadhani umesalimika kumbe unaenda kukutana na kubwa
Na shida ya kubwa ni moja haichomi, haiumizi lakini ukiikanyaga lazima uchecheme kama aliyekanyaga mwiba ukamchoma akiwa peku ama ukiwa umevaa kiatu ama kobazi lisilo na soli imara!
Na shida ya kubwa ni moja ukishaikanyaga umeitibua uvundo wake wote
Utanuka wewe na wengine watakukwepa kutokana na harufu hiyo wasijue kutofautisha kama ni yako ama ni ya mwingine umeipitia tuu..!
Tunaaswa na wahenga tukiwa kwenye taharuki tusiwe watu wa kuchukua maamuzi ya haraka! Lakini kubwa kuliko yote kuepuka kuchukua maamuzi yanayotokana na ushauri wa kunguni na papasi
Chama kimeyakanyaga! Kinatoa uvundo mkali.. Wenye pua ambazo silika za kunusa bado zinafanya kazi wataanza kukikimbiaView attachment 2789168View attachment 2789169
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua makonda ni mropokaji na mtu anayependa kusifia na anajua propaganda Za siasa zinavyokwenda na ana credible authority yaani wananchi wanamuamini kwa kuwa Ni SUKUMA GANGSo lazma warudishe watu kama makonda kwenye system[emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishaanguka/angushwa kusimama tena ni kudra za MananiUnajua makonda ni mropokaji na mtu anayependa kusifia na anajua propaganda Za siasa zinavyokwenda na ana credible authority yaani wananchi wanamuamini kwa kuwa Ni SUKUMA GANG
🤣 Sophia alitaka kuua Chama
Hakuna watu mpaka kubebana!!!!!.....Mkuu alihitajika mtu kama Makonda kufufua chama maana Chama kililoose popularity na wanachama walipungua kwa 30%
So lazma warudishe watu kama makonda kwenye system
Kazi iyendelee awamu 5 ndani ya sita ccm ni ile ile!Wazungu wanasema .. Shortcut is the longest way you were not going... Na Waswahel wanasema unaweza kuruka ndogo(haja) ukadhani umesalimika kumbe unaenda kukutana na kubwa