Pengine Diploma holders wameekwa kwa ajili ya second selection

CAS will be opened for applicants with diploma qualifications by 31st July 2016. Thank you.
 
Kwann hamkuenda Advance mkapenda vya bure shortcut
Wewe Kweli Pimbi!!! Kwani Kila Mwenye Diploma Hakuenda Advance???
Mimi Nilifaulu Form Four na Nikaenda Advance na nikapataThree lakini pia ni Diploma.
 
Oh Shit!! Hapa Pana Tatizo Kwa Maneno Haya "Deadline for applications The deadline for Applications for all applicants who completed Their studies from 1988 to 2016 will be 31st August 2016".

Kinachonishitua mimi ni "FOR ALL APPLICANTS" inamana hata Diploma Holders Wanaingia Hapa! Hii ni Kusema TCU wametoa Deadline Kabla ya Kutoa Tarehe Ya Kuanza Kupokea Maombi!!!!
Coz hile Tarehe 31/07/2016 ni Fake.
 
Tujipe matumaini watatoa ili tusiumie maana hapa pana tatizo
 

Wwe ndo kilaza kabisaa yan unaona kabisaa kupata vyuo vya hapa tu watu vinawashindaa ,,,
Ndio itakuwa huko chinaa
 
Kikubwa wasicheleweshe mwongozo au kutotoa kabisa,kwa sasa vuteni subra kwani watu wengi wanasubiria maamuzi ya serikali yetu pendwa kuanzia ajira za walimu,n.k
 
Si muombe kazi na hizo diploma zenu?.....elimu hyo inatosha kukufanya ufanikiwe...watanzania wanalazimisha mambo....eti una diploma halafu unalaumu.....kama umeshindwa kutumia diploma hata degree/masters/PhD hazitakusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…