Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Wamefungua wapi mkuu mbona sioni?Niliona kama tcu wamefungua maombi kwa diploma Jion hii ingawa ilikua inasumbua sana website yao
Mkuu Vipi!! Naona Kwa TCU hii ya Serikali Hamna Kitu Hicho.Niliona kama tcu wamefungua maombi kwa diploma Jion hii ingawa ilikua inasumbua sana website yao
Waliongopea Watu Kuwa watafungua tarehe 31/07/2016 wakiamini Kuwa tarehe hiyo iko mbali labda haitafika!! Hatimae Zimebakia Dakika 132 Kufika tarehe 3.daaaah kweli isee naona wametusahau kabisa siku mbili website yao haifunguki jion hii imefunguka ila bado hamna jipya kuhusu diploma
Na ww vp chama kinahusikaje katka kuapply vyuoccm oyeeeeeeee mlimchaguaa wenyewee 2020 sizani kamstarudiaa huuu upuuzi
ccm oyeeeeeeee mlimchaguaa wenyewee 2020 sizani kamstarudiaa huuu upuuzi
Ccm ndio TCU ?
Ccm ndio TCU ?
Ndalichako kawekwa na CCM kama haujui
Na mwaka huu lazima watu wajinyeee,,,, mtakamuliwaa hadii mjuteee,, si huwa mnafkiri tunawatania tunapowaambiaga mkajiandikishe mpige kuraa,, sasa madhara ya kuchagua walewale ndo hayoo,,, mnapigiwa ngoma ile ile midundo tu mnabadilishiwaa,,,,,,
Kwann hamkuenda Advance mkapenda vya bure shortcut
ha ha a wananchi mna hasira