Pendelea kuvaa rangi ya mkanda inayofanana na viatu

Pendelea kuvaa rangi ya mkanda inayofanana na viatu

Mwanakulipata

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2018
Posts
718
Reaction score
1,202
Kuna vitu vidogo vidogo ambavyo wanaume tunakosea katika uvaaji wa nguo.

Kama unavaa mashati na unachomekea kwenye suruali basi hakikisha rangi ya mkanda wako inaendana na viatu unavyovaa.

Vitu vingine sio lazima uwe na hela nyingi ndo uvifanye
IMG_20210406_234309.jpg
 
Back
Top Bottom