Pendekezo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pendekezo

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Jul 29, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kufuatia hivi majuzi (Kagame Cup)
  Yule Mheshimiwa aitwae "Mnyama wa Msimbazi" John Boko wa Azam Kum'BOKOA mnyama bao za kutosha, na hivyo kumuondoa mnyama out of the route .
  Napendekeza huyu badala ya kuitwa "Mnyama wa Msimbazi " sasa tumwite "MREMBO WA MSIMBAZI ? "
  Hoja imetolewa na imeungwa mkono! Wanao'afiki waseme .......
   
 2. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  . . . . . . . . . . . . . . .
   
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Yaani wewe Shemeji yangu hata hujifichi ? Hivi ulivyochangia ni dhahiri,
  ndiyo walewale walioninywea uji wa mgonjwa wangu.
   
 4. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  jaman shem wangu wa ukweee c umesema wanaƓkubali waseme . . . . . . nami nimesema hvo!
   
 5. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ndiyooooooooooo
   
Loading...