Pendekezo. . .

Pendekezo. . .

ni gharama in-terms of time unayo tumia kum-pm na kuulizia bei wakati ni kitu kinachotakiwa mwanzoni kabisa mwa biashara yeyote ile.
Na mimi naunga mkono hoja lakini nauliza hivi siku hizi ukim-PM mtu unachajiwa? Au mi nimemuelewa vibaya mleta uzi.
 
unauza bidhaa unataka upigiwe simu, kama tunauziana uchawi vile , weka bandiko la biashara kwa viwango bora , picha yake , bei yake na specifaction ili kupunguza maswali kwa wanunuzi
 
swadakta,kutokuweka bei kwangu mimi ni kutojiamini.na biashara haitakiwi hivyo.
 
Mods
Pendekezo langu mkiona thread haina details za muhimu hasa bei ya bidhaa inayouzwa ni kuifuta tu hiyo thread badala ya kujaza server kwa maswali ya bei,picha nk
Nadhani wakiona hizo post bubu hazitoki wataacha kutusumbua na PM zao watu wenyewe online wanaingia na kutoka
 
Na wewe unajaza seva kwa kupost mara mbili kitu kilekile, au hujastukia?

.......................................
Historia haiishiwi wino.
 
Na wewe unajaza seva kwa kupost mara mbili kitu kilekile, au hujastukia?

.......................................
Historia haiishiwi wino.
hapo tunazungumzia contents za post. Makosa ya double post hasa kwa tunaotumia visimu vya mchi a hutokea mara nyingi kutoka a na network kuwa hafifu unaona post haijaenda una click tena baada ya muda kumbe command zimeenda.pia humu unaweza usione repetition yako kwani unakuwa umeshatoa mchango wako na kuingia topic nyingine.hata hivyo asante kushtuana
 
Umesomeka mkuu.

.......................................
Historia haiishiwi wino.
 
kwa kua mimi ni mmoja wa wadau wa hili jukwaa ningependa pendekeza kitu. Mpaka sasa hivi nimeona matangazo mengi yanayowekwa hapa hua hayajitoshelezi (details chache), yani kwa kusoma tu tangazo mara ya kwanza mtu anashindwa kuamua kama kinachotangazwa kinamfaa, bei anaiweza au atakipenda. Unakuta watu inabidi waulize maswali mengi sana baada ya original post.

Kwanini tusirahisishiane kazi kwa kuweka details zote ambazo ni muhimu kuhusiana na bidhaa?
. . . Picha - mtu ajue muonekano wa kinachotangazwa.
. . . Specs - mtu ajue atakachopata kwenye hiyo bidhaa.
. . .bei - mtu ajue kama ana kiasi kinachohitajika.
. . .eneo - mtu ajue kama anaweza fuata hiyo bidhaa.
N.k
mimi nimeboreka sana baada ya kufuatilia tangazo moja la nyumba hapa, baada ya kuchoma sana credit kupiga back and forth alafu siku kadhaa baadae nikaja kugundua kwamba hiyo nyumba haina uzio. Hapo nilishampa mwenye tangazo matumaini ya kupata mteja, mimi ya kupata nyumba nzuri wakati tulikua tunapotezeana muda na pesa bure.

Ningependekeza kwanzia sasa watu wawe wanaweka maelezo yanayojitosheleza ili mtu atakapochukua hatua ya kukutafuta awe anafanya kuuliza kama bidhaa bado ipo na wapi muonane badala ya kuuliza maswali ambayo majibu yake anaweza kuyapata kirahisi kwenye tangazo lako.

mambo ya sebule kama uwanja wa taifa!!!!!!sijui kwanini madalali hawabadili tabia kuendana na wakati
 
Back
Top Bottom