Pendekezo. . . | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pendekezo. . .

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Lizzy, Dec 28, 2011.

 1. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,217
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kwa kua mimi ni mmoja wa wadau wa hili jukwaa ningependa pendekeza kitu. Mpaka sasa hivi nimeona matangazo mengi yanayowekwa hapa hua hayajitoshelezi (details chache), yani kwa kusoma tu tangazo mara ya kwanza mtu anashindwa kuamua kama kinachotangazwa kinamfaa, bei anaiweza au atakipenda. Unakuta watu inabidi waulize maswali mengi sana baada ya original post.

  Kwanini tusirahisishiane kazi kwa kuweka details zote ambazo ni muhimu kuhusiana na bidhaa?
  . . . Picha - mtu ajue muonekano wa kinachotangazwa.
  . . . Specs - mtu ajue atakachopata kwenye hiyo bidhaa.
  . . .Bei - mtu ajue kama ana kiasi kinachohitajika.
  . . .Eneo - mtu ajue kama anaweza fuata hiyo bidhaa.
  N.k
  Mimi nimeboreka sana baada ya kufuatilia tangazo moja la nyumba hapa, baada ya kuchoma sana credit kupiga back and forth alafu siku kadhaa baadae nikaja kugundua kwamba hiyo nyumba haina uzio. Hapo nilishampa mwenye tangazo matumaini ya kupata mteja, mimi ya kupata nyumba nzuri wakati tulikua tunapotezeana muda na pesa bure.

  Ningependekeza kwanzia sasa watu wawe wanaweka maelezo yanayojitosheleza ili mtu atakapochukua hatua ya kukutafuta awe anafanya kuuliza kama bidhaa bado ipo na wapi muonane badala ya kuuliza maswali ambayo majibu yake anaweza kuyapata kirahisi kwenye tangazo lako.
   
 2. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,215
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Hapo umenena Lizzy,,,,,
   
 3. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Thank you Lizzy for this useful post, hata mimi hua nakerwa sana na matangazo mengine humu.
  More tips:
  • Ikibidi angalizia ads zingine za bidhaa kama yako zimekaaje.
  • Make it fun and attractive, na watu wakikuuliza maswali jibu kwa upole na kwa heshima.
  • Waambie watu kwa nini wanatakiwa kununua hicho kitu chako kuliko vingine vyote wameona hadi sasa
  • Kama kuna limit katika offer (timeline) basi sema mapema. Kama ni vitu vya promotion sema promotion inaisha lini.
  • Kama ni used sema kimetumika kwa muda gani na kama kipo under guarantee, kama kina insurance (when applicable).
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Siyo hilo tu mkuu kuna watu wanaweka matangazo kuwa wanauza sim ama laptop na wanaweka mawasiliano kabisa baadae ukimtafuta ili uwezekuipata hiyo bidhaa anaanza kukuzungusha pasipo mafanikio
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Jf itaonekana niya magret thenker kwa wana jf kufanya mambo yenyekwenda na wakati na yenye kuonyesha tumeelimika. Nisingependa siku moja ionekane ni jukwa la wahuni na watu wasiokuwa na maana na michango ktk jamii
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,217
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  RR we acha tu, huyo aliyetangaza nyumba mwenyewe alinishangaza kweli. Kwasababu nilimtafuta moja kwa moja kwa simu hakujua mimi ni nani hapa. Basi alipoweka picha nikasema "kumbe nyumba yenyewe haina uzio" ,alivyonijibu nilichoka. Hata kama ningekua na shida kiasi gani kwa jibu hilo ningekubali kupitwa tu. Watu wanajibu utadhani wanakopwa au wanagawa bure, inasikitisha kweli.
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,217
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Usanii umetuzidi, sasa ya nini kumpotezea mwenzio muda wake na pesa kama unachouza chenyewe hakina uhakika?Matokeo yake hata siku akiwa serious watu watadhani ni usanii tu.
   
 8. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Pia kama huitaji bidhaa iliyotangazwa huna sababu ya ku 'post' utani au masihara dhidi ya kinachouzwa,toa 'facts' tu za hiyo bidhaa mfano bei ni ghali kuliko bei ya soko,eneo lina utata nk kuna watu wanjiandikia tu ili mradi waongeze idadi ya 'post' zao
   
 9. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,988
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Lizzy!

  Mara nyingine unaangusha maneno yenye tija kweli kweli! Naunga hoja mkono 100%
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,217
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Thanks LiverPoolFC
  Hopefully kutakua na mabadiliko.
   
 11. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #11
  Dec 31, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,248
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  Naunga mkono hoja. Kuna watu wanapost tangazo lao hapa lakini ukim PM hakujibu. Kama huna bidhaa usifanye JF ni mahali pa kujaribia biashara yako kama ukiianza itakuwa na wateja. Pia kuna watu wanapost tangazo la bidhaa moja mara nyingi. Hii inaleta usumbufu wa kufungua thread yenye maelezo yale yale. Kwa wanaouza viwanja au nyumba ni vizuri mtu kama anajua eneo hilo au nyumba hiyo ina utata awaeleze wengine ili wachukue tahadhari zinazostahili kabla ya kuamua kutoa pesa. Vinginevyo mtu anaweza kuuziwa eneo la bahari.
   
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 27,670
  Likes Received: 2,737
  Trophy Points: 280
  Kweli dada naunga mkono,
  kumbe una akili hivyo,
  kila la kheri.
   
 13. M

  Marytina JF-Expert Member

  #13
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,031
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mtu anaandika shamba linauzwa ukienda unakuta mto unauzwa
   
 14. fmlyimo

  fmlyimo Senior Member

  #14
  Jul 8, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 197
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Napendekeza tangazo ambalo halijajitosheleza Mods waliondoe haraka sana ili kuondoa usumbufu na kuwatia adabu wanaoleta matangazo yenye mapungufu.
   
 15. Voice of Wisdom

  Voice of Wisdom JF-Expert Member

  #15
  Aug 2, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  point taken dada lizzy good market strategy tends to increase market share. Na ahitaji elimu ya chuo kikuu kujua namna ya kuwainspire wateja
   
 16. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #16
  Dec 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,989
  Likes Received: 3,545
  Trophy Points: 280
  Naanza mimi mkuu Lizzy

  Kitabu cha dua na mafanikio ya ukweli


  Wakuu Wenzangu nauza hiki kitabu cha dua na Mafanikio ya Ukweli kwa Mwenye kukitaka nakiuza ni Dola 70

  kimeandikwa kwa lugha ya Kiingereza haya karibuni kwa kila mwenye matatizo ya maisha kufanikiwa kupona ugonjwa

  kupata kazi,cheo,kupata pesa ,kupata ushindi wa bahati nasibu, kumvutia mtu kimapenzi,Kufanikiwa katika maisha na

  kila kitu karibuni mjaribu bahati zenu na Dua zake nyingi zimetoka katka kitabu kitukufu cha Biblia kwenye agano la

  Kale asanteni... Kwa Mwenye kukitaka hiki kitabu awasiliane na mimi kwa njia ya email yangu ni hii

  (fewgoodman@hotmail.com)


  CANDLE BURNING RITUALS [​IMG]
  "MIRACULOUS" CANDLE RITUALS GIVE YOU CONTROL OF YOUR LIFE - AUTOMATICALLY!
  Amazing book shows you how to get fast and powerful results from burning candles!

  Just by burning a candle and saying the words in this book you can have whatever you wish!
  Here is a candle burning unlike any other - a book which can be used by Christians, Jews, Muslims, or those of any

  other faith. A book with instructions so simple that a child can follow: a book which shows how to get fast and powerful results from burning ordinary candles from your super-market.
  No incenses or exotic, hard-to-get herbs are required for these rituals!
  No such rituals have ever been this easy, and yet produce such astounding results!
  Any person you desire can be yours automatically - with these candle burning rituals!
  You can get all the money you need automatically - with these rituals!
  You can automatically gain control of an unjust person - with these rituals!
  You can automatically stop another person's gossip or slander - with these rituals!
  You can make a lover come back to you automatically - with these rituals!

  These candle burnig rituals take only minutes to perform. They get results because the book shows you the right times and right words for enlisting the help of the Great Benefic Forces of The Cosmos.

  This is unlike any other such book: because its instructions have been tried and tested over and over again with many people by its authors , the New Age Fellowship!
  Read how these powerful candle rituals have helped these people: (photo-copies of actual letters available on request).

  "I was heartbroken when my boyfriend was seeing another woman. I knew she would bring him no good. So I performed the ritual called 'to break up another's love affair' and I was overjoyed when it worked!" (K.B. Manchester)

  "It looked as if my son was gonna get sent down for 5 years. The evidence was stacked against him, and it seemed a foregone conclusion the jury would find him guilty. It was then God led me to your book. I performed the ritual 'To get a legal decision in your favour'. I couldn't believe it - the jury returned a 'not guilty' verdict!" (B.D. Boston)

  "My life was a mess. I had got into a business partnership which turned into a nightmare. My so called 'partner' was no better than a crook. He had lied to me about what was really going on. We owed people money all over the place.

  So I tried the ritual 'To extricate yourself from a matter you regret having become involved in'. It was the answer to my prayers. Immediately my partners attitude changed, and he even offered to buy out my share. I sold out and even made money on the deal. I can't thank you enough - that ritual saved me!" (J.B. Birmingham)

  The New Age Fellowship was founded to research and make public candle burning rituals which really work. They found there was a method which made them work; and this method, applied correctly, was unfailing.
  It doesn't matter how many times before you have lit a candle and got no result. WITH THIS BOOK'S RITUAL YOU WILL NOT FAIL.

  This book reveals the secrets of past spiritual masters for taking dynamic control of your life!
  There are no difficult to pronounce words. No special clothing is required. No herbs. No Incenses. No equipment of any kind - only ordinary candles from your local super-market!

  You will know the very moment you open this book and read the special words that here - at last - are candle rituals that can help you. And you will know immediately your candle is lit that help is on the way!
  But these special rituals bring more than just 'help' for your problems. They can bring you a life of uninterrupted good fortune and luxury!

  LET NO-ONE EVER TELL YOU THAT GOD AND HIS SERVANTS WANTED YOU TO BE POOR AND UNHAPPY. With this amazing book you are shown how you can banish bad luck out of your life forever.

  You will be able to get money whenever you need it - seemingly "miraculously". It is all a question of burning your candle at the right time with the right words. You will BE ASTOUNDED AT THE FAST RESULTS!
  God moves "in mysterious ways", so the Bible says, and things which once seemed impossible become common place, once you begin using these unique rituals on a regular basis!

  Just think of it - money whenever you need it. Just think of it - the power to make someone want you. Just think of it - the power to influence people to do what you want.
  These amazing candle buring rituals give you that power!

  But how? Spiritual adepts believe that when a candle is lit a light also appears in the Unseen World. And when that candle is lit at the right time, for example, on a Friday if you need money, the Unseen World automatically vibrates to your wishes for money.

  Then speak the correct words given in ths book, and the Unseen World IS READY TO MANIFEST YOUR DESIRE!
  These amazing candle burning rituals are working for many satisfied people.

  80 DIFFERENT RITUALS!
  80 guarenteed-to-work rituals in this amazing book! Some of the rituals are:
  * A complete change of luck, and a flow of endless blessings.
  * Winning contests, lotteries, gambling.
  * To reconcile a broken friendship.
  * To turn an enemy into a friend.
  * To save a failing marriage.
  * To bring peace in the home.
  * To arouse sexual desire in someone.
  * Protection from injury and sudden death.
  * For improved concentration in studies and pass exams.
  * To remove guilt feelings.
  * To obtain a job promotion.
  * To overcome lustful feelings.
  * To develop psychic powers.
  * Overcoming feelings of hate.
  * To boost self-confidence.
  * To get a job.
  * To overcome a bad habit.
  * To improve business and get more costomers.
  * To acquire inner peace.
  * To ease the loss of love.
  * To develop musical talent.
  * To overcome depression.
  * A miraculous answer to an oppressing situation.
  * To forget the past.
  * The wisdom to make the right decision in an important matter.
  * To overcome an oppressive landlord.
  * To reverse unfair dismissal.
  * Overcoming an unyielding enemy.
  * To influence a powerfull person.
  * To remove a curse.
  * For a safe air trip.  ... and many more, including rituals for health problems, infertility, etc.

  ALL RITUALS ARE SIMPLE AND EASY TO PERFORM - NOTHING COMPLICATED, AND NO OILS, HERBS OR INCENSES!
  THIS BOOK IS WORKING "MIRACLES"

  Hawa Watu ni baadhi waliotumia hichi kitabu maelezo yao ni hapa chini

  P.P. (Richmond) wrote: " I have tried so many candle burning books without success - this is the only one to help me".
  J.G. (Toronto) wrote: "How can I thank you? I don't know where to begin. I have used your candle ritual every time before going out to play bingo - and have won prizes 4 times out of 5! Used you candle rite for my mother who won $5000 lottery prize!... And just before writing this i've done a ritual for a new auto - I just know it's going to work!... May God bless you!.

  A.K. (Bristol) wrote: "I have never had my prayers answered so I can't believe my luck. After years of trying to get my songs publishes I received my very first acceptance one week after I got your book! I am astonished!"
  O.J. (Washington) wrote: " I was sceptical, but after trying the ritual to get my lover back I became a believer! She called me the next day and begged my forgiveness! This stuff works!".

  These, and many other testimonials demonstrate the amazing results to be obtained from these unique candle burning rituals. FOR WHATEVER YOU NEED OR WANT JUST LIGHT A CANDLE IN ACCORDANCE WITH THIS WHITE MAGIC BOOK'S INSTRUCTIONS AND YOU WILL RECEIVE HELP! GUARANTEED!


  MWENYE KUKITAKA HIKI KITABU HAKIPO HAPO TANZANIA KIPO NJE YA NCHI AWASILIANE KWA EMAIL ANIANDIKIE BARUA YA PEPE EMAIL ADDRESS YANGU NI HII
  fewgoodman@hotmail.com

  chanzo. https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/279729-jipatie-kitabu-cha-dua-na-mafanikio-ya-ukweli.html
   
 17. A

  Ados Senior Member

  #17
  Dec 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nina waomba wote mnao leta matangazo yenu hapa wekeni Bei zenu nasio kutuambia tuwa PM msituingize gharama ,wekeni vitu hadharani msisumbue watu hela mpate ninyi
   
 18. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #18
  Dec 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,908
  Likes Received: 1,930
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hoja!
   
 19. Nyaubwii

  Nyaubwii JF-Expert Member

  #19
  Dec 18, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Na mimi naunga mkono hoja lakini nauliza hivi siku hizi ukim-PM mtu unachajiwa? Au mi nimemuelewa vibaya mleta uzi.
   
 20. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #20
  Dec 18, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,203
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  wengine wanataka kupigiwa simu ndio wataje bei,..
   
Loading...