Pendekezo: Utunzaji wa garden za Dar, wakabidhiwe Jeshi

Usafi ni jukumu la kila mwananchi...ukiwapa hao ni ku enforce nguvu kwa wendawazimu ~ vichaa (...kwa mujibu wa utafiti kuwa kati ya watanzania 4 mmoja ni kichaa) wanapopewa baadhi ya wendawazimu~vichaa, tubadilike watanzania wenyewe...sio mpaka usimamiwe....
 
Exactly...bustani nzuri sana ile.Kikubwa ni kuwa wanajeshi wanajituma na wanaijali bustani yao.Asikudanganye mtu bustani ni matunzo.Nyingine ni ile ya TCRA nayo imetunzwa vizuri.
Hata TBS wameanzisha yao kando ya barabara ya mwendo kasi imestawi vizuri mno, japo kuna wasiwasi wa kuingiliwa na wamachinga na wapiga debe wa ubungo. Anatunza mtu mmoja tu lakini panavutia. Bustani ni maji na kuzuia watu kupita. Heko wanajeshi wetu, TCRA na TBS. Natamani ifike mahali hizi shule zenye viwanja vya Vumbi wafundishwe kupanda nyasi na kuzitunza. Inasikitisha maji yapo, wanafunzi wapo na waalimu lakini viwanja vya michezo vya shule zetu nyingi ni VUMBI.
 
IMG_1580.JPG

Wanafunzi wa Kizungu wakitengeneza Uwanja wa shule yao.
 
Mm nilikuwa nashauri wakabidhiwe kuanzia darajani pale bondeni mpaka mataa ya mwenge.harafu baada ya mataa ya mwengemmpaka round about ya mwenge kama unaenda ubungo nayo waishugulikie na.iwe chini ya ujenzi pia.

Maana hapo napo kuna hospital ya jeshi na kambi pia
 
Hahaha....hawa jamaa huwa hawataki mzaha aisee. Ukijifanya unakatiza unapewa ki-portion aidha umwagilie, ufyeke au upalilie maua na miti. Pale hakuna kukatiza ovyo ovyo kama kuku ama kutupa taka aisee
 
Hilo linawezekana na kama sio jeshi basi J.K.T wafanye hiyo kazi kama moja ya miradi yao kama huu mradi wao wa security guard kwenye maofisi mengi ya Serikali ambao umekua na ufanisi mkubwa sana.kama hili wameliweza basi hata hili wataweza kulitekeleza vizuri. Ni muhimu vyombo hivi vikabuni miradi kama huu wa security guard badala ya kusubiri fedha kutoka serikalini.
 
Back
Top Bottom