Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,915
- 30,027
Zitatambulishwa tu.Traffic light zinatambua kama ujenzi unaendelea?
Zitatambulishwa tu.Traffic light zinatambua kama ujenzi unaendelea?
Hiyo bado solution.Lakini mbona huwa magari mara nyingi hayaruhusiwi kutokana na foleni. Yanaruhusiwa kutokana na priority, sijui unanielewa. Mfano. Junction ya morrocco barabara ya tegeta posta inapewa priority na mda mwingi hata kama haina foleni kuliko ile ya morrocco kawe. Hata kama ya morrocco kawe ina foleni, huwa haipewi sana kipaumbele. Hii inathibitika kabisa sio kubahatisha. Thats why tunahitaji kuset mda sio kukadiria