PENDEKEZO: Sikukuu ya NANE NANE ifutwe

Pia wanasiasa, na tena eti leo imeanzishwa zawadi ya kila mwaka ya 'kilimo kwanza' what a FUNNY!!

Afu mwananchi anashangilia kaletewa trecta ambazo hana uwezo wa kuznunua...
 
hichi mkuu ndo hatuki kiendelee kuwepo...na kama hatuwez kukitoa c bora tuyafut tu...
 

ingekuwa nna jeuri ningefuta nyingi tu kuanzia na hii. tunapoteza resources tu bila sababu.
 
kweli mkuu..but ebu taja zngine tuzjadri hapa

karume day,nyerere day,mapinduzi ya zenji, muungano,saba sasaba,etc. yaani zingebaki independence day tu na zile sikukuu za dini.

kwa mtazamo wangu zinapoteza tu muda wa uwajibikaji. kama kuwaenzi WAASISI tuwaenzi kwa kufanya kazi sio kulala home na kushinda bar.
 
Unajua unapotoa maoni kuhusu issue kubwa kama hii ni vizuri ukatumia COST/BENEFIT ANALYSIS.
 

Mhhhhh!! hata jina lako linaendana na comments zako... ukwaju ukwaju tu...
 

kwani hizo kazi za brela na info za ardhi ya dodoma zisingetangazwa kama kusingekuwa na hayo maonyesho?
 
Ninaposema yaboreshwe yawe ya kumsaidia mkulima kujua wapi atapata ushauri wa kitaalamu,mbegu bora,dawa bora,masoko ya mazao,usindikaji,uvunaji wa mvua hii teknologia wanatumia sana wairani badala ya kujaza watu wanaoenda kwa ajili ya posho na kelele za muziki zimezidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…