- Thread starter
- #21
Pia wanasiasa, na tena eti leo imeanzishwa zawadi ya kila mwaka ya 'kilimo kwanza' what a FUNNY!!
Afu mwananchi anashangilia kaletewa trecta ambazo hana uwezo wa kuznunua...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia wanasiasa, na tena eti leo imeanzishwa zawadi ya kila mwaka ya 'kilimo kwanza' what a FUNNY!!
swala hili lipo mahakani sio la KUZUNGUMZIA
hichi mkuu ndo hatuki kiendelee kuwepo...na kama hatuwez kukitoa c bora tuyafut tu...Kumbuka kwenye budget za wizara zetu kuna fungu la posho za kwenda kutembelea maonyesho hayo sasa yakifutwa unakuwa umepunguza perdiem za watu kwa mwaka! Napenda ifahamike kuwa kila kitu huwa kuna wanaonufaika na wasionufaika sasa hapa wanaonufaika ndio wanauwezo wa kusema maonyesho haya yaendelee kuwepo au yasiwepo then unategemea nini? Mkulima anakula hasara au anapata faida wao siyo tatizo hata kidogo, wakulima wamekuja au niwafanya biashara ndio wamejaa pale pia sio tatizo. Suala ni kwamba kiongozi kaja, posho yake kesha chukua na waandishi wa habari na makamera yao yapo basi!
Binafsi sion haja ya kuendelea kua na sherehe kila mwaka na kutumia pesa kibao kuandaa maonesho ya wakulima ambayo hujaa bidhaa za wafanyabiashara na kukiuka lengo zma la maonesho hayo.
halafu siku kama ya leo ya wakulima inawasadia nn wakulima wa kijijin kwangu ambao leo wanauza pamba yao kwa Tsh 600/kg huku hali ya maisha ikiendelea kuwa ngumu kila kukicha....
ingekuwa nna jeuri ningefuta nyingi tu kuanzia na hii. tunapoteza resources tu bila sababu.
We huoni leo tumepumzika kwenda kazin?
We huoni leo tumepumzika kwenda kazin?
kweli mkuu..but ebu taja zngine tuzjadri hapa
goigoi mkubwa we.
acheni iwepo na kwa wasioitaka acheni mkae majumbani, kwani wanaoona manufaa wataenda, mbona 77 Dsm wanaenda na huko kuna Makampuni ya nje, Nani angejua km ardhi ya Dodoma ingekubali zaidi ya mazao 20 mapya ya kilimo korosho likiwa mojawapo, au nani angejua kazi za Brela za kuandikisha makampuni ni bei rahisi kuanzia 6,000/ mpaka 300,000/ wakati tulikuwa tukipitia kwa wakala na Wakili unachajiwa hadi 550,000/=
Msipinge kila kitu kwani hata mataifa mengine wana maonyesho yao ya vitu vya asili
MM NINGESHAURI LIGI YA MPIRA WA MIGUU TANZANIA INGEFUTWA KWANI SIONI FAIDA YAKE KWENDA ANGALIA WATU 22 WANASHINDANIA LIGOZI UWANJANI NA MASHABIKI KUUANA ETI SIMBA, YANGA, MAN U nk
jinsi ww unavyochukia hiki na mwenzako hakipendi ni shurti kuvumiliana