mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,658
- 8,994
Wakuu kutokana na hapo jana kuleta sintofahamu kufuatia kauli ya waziri na raisi kuwa wakuu wa mikoa na wilaya nafasi zao ni za kisiasa nashauri sasa wakati unefika serikali ipeleke mswaada bungeni kufanya marekebisho ili nafasi hizo ziweze kugombaniwa badala ya ilivo sasa,Maana nafasi yoyote ya kisiasa inagombaniwa hivyo tunategemea sisi wanachi wa Kigoma kupiga kura kumchagua mkuu wa mkoa tunayemtaka sisi sijui wenzetu wa Dar es salaam kama mwamtaka bashite haya aa