Pendekezo: Prof. Kabudi awe Naibu Waziri Mkuu

Pendekezo: Prof. Kabudi awe Naibu Waziri Mkuu

Kwa nini mashabiki ya CCM huwa yanaleta hoja kama hayana ubongo?
Kuitwa mpinzani sio kupinga kila kitu alichokisema mtoa hoja ndicho alichomaanisha Rais wetu, ndio maana amekuwa wa kwanza kuteuliwa katika Baraza la mawaziri akifuatiwa na Dr. Isdor.
 
Lile beat alilowapiga Wabunge wa EU mnataka tena kumwongezea cheo? mbona atawafuata humo humo kuwakodolea macho.
 
Wewe ni mchumia tumbo tu ambaye hauko well informed ! Sasa hilo jina la Phillip katika majina ya Kabudi umelitoa wapi?! Wabongo bwana mko half cooked kwenye kila eneo!
 
Kwa nini mashabiki ya CCM huwa yanaleta hoja kama hayana ubongo?
hapo tu umefuraaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sasa Kabudi Aidani anaenda kuwa mashauri wa mgambo taifa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mipasho hujibiwa kwa mipasho, walianza wao wacha prof amalizie
daah toka dunia iumbwe mwaka huu nimeona mipasho iliyokwenda school ya prof kabudi😂😂

Kabudi baba laooo
 
Back
Top Bottom