Securelens
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 316
- 542
Naunga mkono hoja
daah toka dunia iumbwe mwaka huu nimeina mipasho iliyokwwnda school ya prof kabudi[emoji23][emoji23]
Kabudi baba laooo
CDM 99.99% ni vichwa maji .. kama kiongozi ni Mbowe cha pombe unategemea wafuasi watakuwa na hali gani??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ile mipasho kina amstadam na wajumbe wa bunge la EU wapinzani huwakuisikia?? Au huko Tundu tuu ndio anaelewa inglishi???
Basi ni vyema kumwomba tafsiri
Darasa la pili!Kajifunze kuandika kwanza na mawazo yako mfu, kwanza hatuna mtu wa aina hiyo, Hatuna Prof Palamagamba Phillip Aidan Kabudi.
The whole issue is void.
Naomba kujua elimu yako tafadhali.?
Hahahaaaa....... Ni uzalendo tu bwashee!mleta mada amelewa buku saba za chama
Uwezo mdogo sana kichwani mwako. Akili yako inakutosha kuvukia barabara tu.Darasa la pili!
CDM 99.99% ni vichwa maji .. kama kiongozi ni Mbowe cha pombe unategemea wafuasi watakuwa na hali gani??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Manka umeshafura........ Hahahaaaa!Uwezo mdogo sana kichwani mwako. Akili yako inakutosha kuvukia barabara tu.
Anafaa hapo alipo ili mabeberu yaendelee kujipaka vinyesi.Kabudi yayafurumisha mabeberu sasa yanaruka na kukanyaganaNakumbuka enzi za awamu ya pili ya mzee Mwinyi, baada ya Waziri wa mambo ya ndani mh Augustino Lyatonga Mrema kuonyesha utumishi uliotukuka " alitunukiwa" cheo kipya sawia na alichokuwa nacho akawa Naibu Waziri mkuu na Waziri wa mambo ya ndani ya nchi.
Vivyo hivyo kwa utumishi uliotuka wa Prof Palamagamba Phillip Aidan Kabudi napendekeza pamoja na cheo chake cha sasa awe pia Naibu Waziri mkuu.
Nina hakika ndani ya Bunge la sasa mchakato utakuwa rahisi.
Nawatakia Dominica yenye baraka
Maendeleo hayana vyama!
Nakumbuka enzi za awamu ya pili ya mzee Mwinyi, baada ya Waziri wa mambo ya ndani mh Augustino Lyatonga Mrema kuonyesha utumishi uliotukuka " alitunukiwa" cheo kipya sawia na alichokuwa nacho akawa Naibu Waziri mkuu na Waziri wa mambo ya ndani ya nchi.
Vivyo hivyo kwa utumishi uliotuka wa Prof Palamagamba Phillip Aidan Kabudi napendekeza pamoja na cheo chake cha sasa awe pia Naibu Waziri mkuu.
Nina hakika ndani ya Bunge la sasa mchakato utakuwa rahisi.
Nawatakia Dominica yenye baraka
Maendeleo hayana vyama!
CDM 99.99% ni vichwa maji .. kama kiongozi ni Mbowe cha pombe unategemea wafuasi watakuwa na hali gani??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
aliye waroga naye karogwaSi ndio mkakodisha majeshi ya Burundi kwa pesa za Corona za EU au vipi?
Kuna katiba mpya Yenye cheo kama hicho?Nakumbuka enzi za awamu ya pili ya mzee Mwinyi, baada ya Waziri wa mambo ya ndani mh Augustino Lyatonga Mrema kuonyesha utumishi uliotukuka " alitunukiwa" cheo kipya sawia na alichokuwa nacho akawa Naibu Waziri mkuu na Waziri wa mambo ya ndani ya nchi.
Vivyo hivyo kwa utumishi uliotuka wa Prof Palamagamba Phillip Aidan Kabudi napendekeza pamoja na cheo chake cha sasa awe pia Naibu Waziri mkuu.
Nina hakika ndani ya Bunge la sasa mchakato utakuwa rahisi.
Nawatakia Dominica yenye baraka
Maendeleo hayana vyama!
aliye waroga naye karogwa
Anafaa kuwa naibu RaisNaibu waziri mkuu!