Pendekezo: Prof. Kabudi awe Naibu Waziri Mkuu

Pendekezo: Prof. Kabudi awe Naibu Waziri Mkuu

APEWE UWAZIRI MKUU WAKUWA ANA MACHO KAMA MJUSI KABANWA NA MLANGO?? AWATOLEE MACHO BASI MABEBERU WATUPE MISAADA ....NA MIKOPO
 
Nakumbuka enzi za awamu ya pili ya mzee Mwinyi, baada ya Waziri wa mambo ya ndani mh Augustino Lyatonga Mrema kuonyesha utumishi uliotukuka " alitunukiwa" cheo kipya sawia na alichokuwa nacho akawa Naibu Waziri mkuu na Waziri wa mambo ya ndani ya nchi.

Vivyo hivyo kwa utumishi uliotuka wa Prof. Palamagamba Phillip Aidan Kabudi napendekeza pamoja na cheo chake cha sasa awe pia Naibu Waziri mkuu.

Nina hakika ndani ya Bunge la sasa mchakato utakuwa rahisi.

Nawatakia Dominica yenye baraka

Maendeleo hayana vyama
Prof Kabudi siyo mchapa kazi, bali anajipendekeza kama mtoto mdogo, kwa hiyo hafai uongozi ambao unataka maamuzi ya kutumia uwezo na siyo kuamua ukifikiria mkuu atasema nini.
 
Back
Top Bottom