Mama Debora
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,481
- 2,609
Kuna mtu nahisi alinichanganya na wewe, alidhani mimi ni ke. Yaani bizplan = financial services which is not true.
Yaani jamaa kakuchanganya wewe na mshamba famba!!
Kuna mtu nahisi alinichanganya na wewe, alidhani mimi ni ke. Yaani bizplan = financial services which is not true.
Yaani Ni shidaWale waliokuwa wamalize mwaka huu kama nawaona walivyokasirika.
😀 😀 😀 😀 😀Naona uzi umevamiwa na mgonjwa wa akili ambaye hajapona vizuri .
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Naona uzi umevamiwa na mgonjwa wa akili ambaye hajapona vizuri .
Mkuu msaada maana sielewi kabisa hasa lile Tangazo la Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwa hii likizo italipiwa mwezi Julai hatutafungaWenzetu Israel wamefunga mashule mpaka September 1,Ina maana mwaka mmoja wa masomo umepotea,,
Sure maana zoezi la kukaa nao home nalenyewe si mchezoHata kesho tu madogo wangeruhusiwa warudi shuleni na vyuoni
Kabisa yani mabaharia ilikuwa tar 13/05/2020 tung'oe nanga!!Wale waliokuwa wamalize mwaka huu kama nawaona walivyokasirika.
Sawa mkuu, lets be an exampleKesho tuwapeleke shule basi
Hamna mrija wangu uliofungwa, ni suala la facts tu. Wiki 3 sasa zimepita tangu mgonjwa wa kwanza. Ile wave death haitatokea AfricaWewe Sema mrija wako wa ulaji umekatwa unataka watoto waende wakianza kuumwa na kufa naona utafurahi sisi tuna watoto wanasoma lazima tuwe na uhakika na hili suala kwanza kabla mambo mengine hayajendelea
Huko ni mbali. Ninaamini kwa assessment za hali halisi, nchi yetu ni salama kabisa, lets get back to normal with precautionsKuna mtu nimesikia anasema kuwa ratiba iliyopo hadi sasa ni hadi tar. 4 mwezi wa tano. Hizi si taarifa rasmi ila nimesikia tu kwa mtu.
Tusubiri tuone wataamua nini.