Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,194
- 10,919
Mbunge aliyechaguliwa hafukuzwi kiholela na mwenyekiti. Hiyo ya kuchagua wajiwekee utaratibu ambapo mwenyekiti hatatumia madaraka vibaya.Lakini mkuu huoni kama itampa majaribu makubwa mwenyekiti,akipata mchepuko anakununua au kukufukuza tu ili ampe mwingine. Hii bora iratibiwe NEC kabisa,ujinga uishe.kabla hujajiuzuru ujijue tu kama umeua bendi.