Augustino Fanuel Massongo
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 1,279
- 665
Jiongeze mkuu , Wakomunisti wamekariri tena kwa msisitizo mkuu Ideology zisizo na Imani ya Mungu na bado wame advance in so many walks of life.Kitabu kilichochakachuliwa MUNGU hawezi kutia nguvu kikaweza kuhifadhiwa kichwani.
Achilia mbali mashindano ya kuhifadhi HAITAWEZEKANA kabisa ajitahidi yoyote atakayehifadhi bila hata kushindana na wengine.