Pendekezo: Mashindano Makubwa ya kuhifadhi Kitabu Kitakatifu cha Biblia 2017/2018

Ni sawa kwa imani yako na rudia ni nani mimi mpaka ni ipinge imani yako?

Mimi ni fanyacho hapa ni kuzunguzia imani yangu na kutoa changamoto ya maswali tu kwa niliyo ya soma hapa kuhusu imani yenu ambayo mme ya andika wenyewe.

Kwa mujibu wa imani yangu Shetani ni Baba wa Uongo ni mwenye hila kuu. Moja ya hila zake ni kufanya mambo yake kwa kumshirikisha/kumuhusisha/kumtanguliza Mungu mbele (BwanaYesu na omba msaada wako ni
eleweke) Na kupa mfano pale Eden alimuambia Hawa Eti Mungu kawakataza msile yale matunda ya ule mti wa katikati ya bustani na kawa ambia mkila mtakufa? (ukweli mtupu). Baada ya hapo ndio ana chomekea uongo mkuu."Mungu kawadanganya mkitala mtakuwa kama yeye). Sijui kama unaona shetani utendaji wake ulivyo. So si jambo geni kabisa kwa shetani kutenda kwa namna hiyo. Haimpi taabu kuanzia taurati, zaburi, injili, nk halfu akamalizia ajuavyo yeye maana ndio mbinu yake kuanza na Mungu.

Sasa hilo la mchungaji anaye tafsiri Quran Tukufu kwa kupotasha sijui maana sijaiona clip hiyo. Ila Bwana Yesu alitufundisha kwa Neno lake kwamba tuchukue tahadhari siku za mwisho watakuja manabii wa uongo kwa jina lake.

By the way leo kiko pilau pale temeke amvalo la husisha kutumia majini wema na wenye nguvu ukilila unafukuza majini wabaya wanao watesa wabadamu.




Sawa mkuu nimekuelewa. Wakati mwingine hoja za tunaojadiliana nao ndizo zinafanya mtu utoke kidogo kwenye mjadala na kuizungumzia jamii unayojadiliana nao.

Kuna video inasambaa na mchungaji mmoja wa kitanzania akiisoma Quran ku-translate tofauti kabisa na ilivyoandikwa kisha binti mmoja ama ni Rwanda au Burundi akawa ana-translate katika lugha ya kwao kwa hadhira iliyokuwepo katika hali hiyo ya upotoshaji. Sasa wachungaji wa namna hii ndio wanaenda kuzalisha wabishani wasiolewa huko mitaani. Kiasi baadhi yao ndio akina mgen.

Kweli mtu aliyeenda shule anaweza kuamini kuwa the so called shetani anaweza kutunga au kuandika kitabu au kutoa maneno yanayoelezea uumbaji, mazingira, sayansi nk kama ilivyo Quran? Kwanini mtu anaweza kuamini hivi? Yumkini katika mafundisho aliyopokea ameambiwa hivyo na yeye hakutaka kujiongeza. Angejiongeza na kusoma hicho kitabu angebaini kwamba shetani ni miongoni mwa viumbe vilivyoonywa, kukemewa na kutabiriwa mabaya katika hiyo Quran. Sasa angejiuliza, iweje mwandishi wa kitabu (kama anavyidai yeye) ajikaange mwenyewe. Yaani kwanini kitabu alichoandika yeye kisha aseme watakaemfuata yeye ( shetani) wataenda motoni?

Anyway, nimekuelewa turudi kwenye hoja zinazohitaji ufafanuzi.
 
ENDELEENI NA MJADALA NAAMINI MUAFAKA UTAPATIKANA...!
ILA MSICHANANYE MANENO HAYA:
1-KUKARIRI
2-KUHIFADHI
MTOA MADA KAZUNGUMZI SWALA LA KUHIFADHI BIBLIA SIO KUKARIRI BIBLIA.
Hii mada ilikuwa nzuri Lakini kuna mambo yameingilia pasipo mahala pake.

Wakristo tukubali tukatae, kuhifadhi kitabu ni njia bora ya hata kurithisha Maandiko.
Ndio maana hata watoto wao (walio wengi) ni watiifu kwa dini yao tofauti na Wakristo ambao ni easy going.
Leo hii kuna versions nyiingi za Biblia sababu no one have the original bible, hata 10 commandments zimebadilishwa bado tunafata tu mkumbo.
Pakiwepo na mashindano ya kuhifadhi vitabu ndo mwanzo wa kuelewa maandiko na kuspot pale mabadiliko yanayofanywa kukidhi haja zao. Mfano wanabadilisha biblia ili kubariki matendo yao maovu.
Sio siri wakristo tumekuwa easy going sana.
 
Wee unadhani hivyo vipicha picha vimetengemezwa na watu wa DINI gani kwa ajili ya kukashifu DINI gani...?

Hivyo ni vipicha ambavyo havina mashiko ndani yake wala uhalisia, unadhani picha zingekuwa na uhalisia huyu hapa chini tumuite yesu au nyau...?

9febd0175bfce3cb6911e1b935f8ac67.jpg
77ad1df1867a2eb548d2b6454cb68c80.jpg
Kwa hiyo hii
IMG_20171125_202547_288.jpg
ni picha au ayat ya qaraa...unashindwa hata kutofautisha
qaraa ni Kauli ya nani kama hujui si useme
 
Kwa hiyo hii View attachment 642997 ni picha au ayat ya qaraa...unashindwa hata kutofautisha
qaraa ni Kauli ya nani kama hujui si useme
Skiliza nikwambie, mi naiamini sana Injili hata Quran kama maneno ya ALLAH (S.W). nani maneno yake huwa hayaongopi kama alivyosema kwenye Injili ya kuwa...

45cd8648d46a5d73dfdc3fde27a24be6.jpg


Kwa sababu wewe ni kama mfano wa chumvi ambayo tayari imekwisha haribika, ni sawa na chumvi isiyofaa...

8b0362aa9bdd3bc7f1b952d74e9bc392.jpg


Sina cha kuifanya chumvi iliyoharibika zaidi ya kuitupa nje tu.
 
Ndugu zangu Wakristo nawasalimu. Tumsifu Yesu Kristo!

Ndugu zangu nawaomba wakristo wenzangu kwa nafasi zetu, vipawa vyetu na karama alizo tujalia Mwenyezi Mungu na sisi Tuanzishe Mashindano ya Kuhifadhi Biblia Takatifu kwa Vijana Wetu ili kuwajenga katika kulijua Neno LA Mwenyezi Mungu.

Nawasilisha ndugu zangu tuanze kampeni ya kuanzisha mashindano aya [HASHTAG]#BibliaTakatiguNuruyaUlimwengu[/HASHTAG]
Watu wa Berea wawe mfano kwetu: walikaa kila siku wakisoma na kuyachungua maandiko. Sio kukariri bila uchambuzi na kuyatafakari. Kukariri na kushindanisha maandiko ni kutothamini neno la Mungu. Mungu ni mkuu sana, sio wa kufikiwa kwa kukariri na kulifanyia biashara neno lake bali hufikiwa kwa kumtafakari na kumkiri kwa unyenyekevu mkubwa.
 
Ndo maana inasisitizwa kiarabu kianze kufundishwa kuanzia chekechea ili tuweze Kukariri na kuhifadhi kitabu kitakatifu
 
Skiliza nikwambie, mi naiamini sana Injili hata Quran kama maneno ya ALLAH (S.W). nani maneno yake huwa hayaongopi kama alivyosema kwenye Injili ya kuwa...

45cd8648d46a5d73dfdc3fde27a24be6.jpg


Kwa sababu wewe ni kama mfano wa chumvi ambayo tayari imekwisha haribika, ni sawa na chumvi isiyofaa...

8b0362aa9bdd3bc7f1b952d74e9bc392.jpg


Sina cha kuifanya chumvi iliyoharibika zaidi ya kuitupa nje tu.
Achana na Injili wewe hata Yesu aliwajua watu kama nyinyi
e4835a35e1e6a4ad43c1a03dc53342f1.jpg
tujimwage kwenye swali letu...kumbe qaraa ni maneno ya Allah...sasa ulikuwa na kigugumizi gani kujibu? swali linalo fuata jee allah walikutana wapi na abdul qathem ibn abd allah hadi kamtuma aongee alicho ongea
 
Hii mada ilikuwa nzuri Lakini kuna mambo yameingilia pasipo mahala pake.

Wakristo tukubali tukatae, kuhifadhi kitabu ni njia bora ya hata kurithisha Maandiko.
Ndio maana hata watoto wao (walio wengi) ni watiifu kwa dini yao tofauti na Wakristo ambao ni easy going.
Leo hii kuna versions nyiingi za Biblia sababu no one have the original bible, hata 10 commandments zimebadilishwa bado tunafata tu mkumbo.
Pakiwepo na mashindano ya kuhifadhi vitabu ndo mwanzo wa kuelewa maandiko na kuspot pale mabadiliko yanayofanywa kukidhi haja zao. Mfano wanabadilisha biblia ili kubariki matendo yao maovu.
Sio siri wakristo tumekuwa easy going sana.
Mkuu, Hongera sana kiongozi ni wachache sana wenye kufunuliwa maono na kuiona NURU na kweli iliyotimia wachache sana waliobarikiwa hili. Mungu akuongoze zaidi mkuu.

Ubarikiwe sana.
 
Hahaha. Meela naomba jibu tafadhali.

Hawafanyi upumbavu bali wanaelezea kwa mtizamo wa hizo rejea. Kukariri au kuhifadhi kichwani ni kutamka yaliyoandikwa kwenye hivyo vitabu bila hata nia ya kuelewa maana. Anayesoma na kufafanua na kurejea sehemu nyingine kwenye kitabu panapoongelewa jambo hilo hilo ni kuonyesha uelewaji sio kukariri
 
Mkuu, Hongera sana kiongozi ni wachache sana wenye kufunuliwa maono na kuiona NURU na kweli iliyotimia wachache sana waliobarikiwa hili. Mungu akuongoze zaidi mkuu.

Ubarikiwe sana.
eti ubarikiwe sana..muislamu nduguye ni muislamu mwenzie
 
2:97. Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Qurani imeletwa na adui wa Jibrili ,huyo adui wa Jibril ni nani?
 
Wapo walio uliza kwa nini Biblia ina Agano la Kale na Jipya. Soma Matayo 13:52 Bwana Yesu mwenyewe ana kujibu.

Wakristo hawahifadhi Biblia Takatifu/Neno la Mungu kwa ajili ya kushindana au kuzuia lisibadilishwe. Bali wanalihifadhi mioyoni mwao kwa ajili ya Soma Zaburi 119:11.
 
Back
Top Bottom