Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,079
Kumekuwa na utamaduni wa kila pesa ya taifa inapotumika kwa maendeleo inasemwa ni pesa ambayo mama yetu ametoa kama fadhila kwa wananchi wake anaowapenda.
Lakini pia umeonekana kuwa, kumbe sehemu kubwa ya hizo pesa ambazo mama yetu anazitoa huwa anakopa na mwisho hubakia kuwa deni la taifa.
Sasa ili kujenga taswira halisi na kuweka uzani sawa sawa, watu wengi wanapendekeza kuwa badala kuitwa deni la taifa basi liitwe DENI LA MAMA.