Pendekezo langu kwa Makampuni ya simu na TCRA

Kigizo jr

Member
Joined
Apr 1, 2021
Posts
12
Reaction score
9
Nafikiri kungekuwa na vifurushi ambavyo ni basic bundle kwa makampuni ya simu na viwe monitoring na TCRA, Na pili kuwe na upande wa vifurushi vya ofa ambavyo ingekuwa ni choice kwa kampuni kujua wanaweka kwa namna gani ili kupata ushindani sokoni (Ni kampuni lenyewe la simu kujua wanaweka ofa za namna gani ambazo za weza kuwa tofauti na makampuni mengine).
 
Huko kwenye chanel za bure tu bado mtihani itakuwa huku mkuu?!!!haya yanafanywa ili jina walipendao wengi(wanyonge) lizidi kudumu
 
Back
Top Bottom