Pendekezo: Kivuko cha Kawe kiitwe Daraja la Halima Mdee

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,534
Ni pendekezo tu kwa ajili ya kumbukumbu ya Mbunge wa Kawe kwa miaka 10 mfululizo na ambaye wananchi wamemtaka sasa astaafu Mh. Halima Mdee.

Kivuko hiki kipo Bagamoyo Road eneo liitwalo karibu na Mbezi Beach maarufu kama Kwa Komba.

Maendeleo hayana vyama!
 
Umechelewa, limeshapewa jina. Daraja la Makonda 😂😂😂
 
Sawa.
tapatalk_1574100883865.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwa Komba ama Tankibovu kama unaelekea Tegeta, upande wa kushoto kuna kiwanja kina ukubwa wa wastani ambacho hakijaendelezwa, na pia kina tangazo kuwa kinauzwa, Katibu Mkuu Mnyika pitia hapo muone kama mnaweza kukinunua na kuanza kujenga ofisi zenu, ili mpunguze masimango kutoka kwa mahasimu wenu wa kisiasa. Hadhi ya CDM na ofisi zenu za Ufipa kusema ukweli haziendani kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni pendekezo tu kwa ajili ya kumbukumbu ya Mbunge wa Kawe kwa miaka 10 mfululizo na ambaye wananchi wamemtaka sasa astaafu Mh. Halima Mdee.

Kivuko hiki kipo Bagamoyo Road eneo liitwalo karibu na Mbezi Beach maarufu kama Kwa Komba.

Maendeleo hayana vyama!
Ndio hilo nasikia ukipita hapo chini usiku unapigwa roba?
 
Hapo kwa Komba ama Tankibovu kama unaelekea Tegeta, upande wa kushoto kuna kiwanja kina ukubwa wa wastani ambacho hakijaendelezwa, na pia kina tangazo kuwa kinauzwa, Katibu Mkuu Mnyika pitia hapo muone kama mnaweza kukinunua na kuanza kujenga ofisi zenu, ili mpunguze masimango kutoka kwa mahasimu wenu wa kisiasa. Hadhi ya CDM na ofisi zenu za Ufipa kusema ukweli haziendani kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dodoma, makao makuu ya serikali, kuna maeneo makubwa zaidi na kwa bei poa zaidi, kwahiyo punguza shaka!
 
Hapo kwa Komba ama Tankibovu kama unaelekea Tegeta, upande wa kushoto kuna kiwanja kina ukubwa wa wastani ambacho hakijaendelezwa, na pia kina tangazo kuwa kinauzwa, Katibu Mkuu Mnyika pitia hapo muone kama mnaweza kukinunua na kuanza kujenga ofisi zenu, ili mpunguze masimango kutoka kwa mahasimu wenu wa kisiasa. Hadhi ya CDM na ofisi zenu za Ufipa kusema ukweli haziendani kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri mzuri!
 
Ofisi ipo inaitwa Chakaza building!
Hata ukikejeli, hao mnaosema hawana ofisi za kifahari ndio wanamlaza na viatu mkuu wenu kutokea hukohuko 'Chakaza Building'.
Unadhani ofisi kuwa maridadi ndani ya majengo ya kifahari ndizo zikomboazo watu? Ingekuwa hivyo,basi CCM ingesha wakomboa watu muda mrefu na sio kuacha shule zetu zikiwa na vitu vya ajabu.
hechejohn___B6oPkxhlx6t___.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom