- Thread starter
- #141
Karibu kasuku nimefurahishwa sana kwa kuitendea kwako haki mada husika.
Kumbuka kuwa huo ni wakati ambao Nyerere ameirithi nchi kutoka kwa Mkoloni kwa hiyo kama ni sifa basi inabidi umpe Mkoloni kwa sababu nchi ilipokuwa chini ya "mikono kamili" ya Nyerere ndipo ilpofikia hata watu kuvaa magunia achilia mbali kuadimika kwa madawa hospitalini.kasuku1 said:Kwa sisi tuliokula chumvi kidogo tunaona tofauti kubwa iliyoko kati ya nyerere na viongozi wa leo. Wakati wa nyerere matibabu yalitolewa bure na yalikuwa madhuri tofauti na haya ambayo leo tunalipia lakini huduma ni mbovu.
Kumbuka unazungumzia mafisadi na wezi ambao ni product ya Nyerere!kasuku1 said:Wakati wa nyerere taifa lilikuwa na umoja na mshikamano vitendo vya wizi wa mali za umma na ufisadi unaousikia leo havikuwepo halikadhalika
Hili Nyerere alilikuta tayari Watanganyika wakiishi namna hii,alichofanya yeye ni kuiharibu nchi kwa kuipandikizia udini na ndiyo matokeo yake tunayoyaona leo.kasuku1 said:halikadhalika hakukua na udini tunauona leo mkristo na mwisilamu walishirkiana kwa kila jambo bila kubaguana.