Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,061
- 1,367
Napinga hii hoja kwa sababu moja kubwa, Mbowe aliomba ridhaa ya kuongoza chama chake na akapewa. Kwa sasa anatekeleza majukumu yake kama wanavyofanya watu wengine i.e walimu, wafagia barabara etc etc. Tabia ya kupeana vi-heshima vya reja reja ya CCM na imeondoa kabisa maana ya utendaji kazi.
FJM
Naomba kutofautiana na wewe. Hivi wewe kazini/ofisini mwenu hamna annual awards? Hizi hutolewa kwa mfanyikazi bora, mbunifu, aliyekwenda extra mile, etc. etc. katika utekelezaji wa majukumu yake. Kwa hiyo kutambua na kuheshimu mchango wa mfanyikaz yeyote yule ni jambo zuri.
Kiongozi, CHADEMA wanatakiwa wafanye mambo tofauti na CCM. Zawadi anayotakiwa kuinyemelea huyu Freeman Mbowe ni kuifikisha CHADEMA Ikulu. Narudia mtindo wa kupongezana kwa reja reja ni wa CCM, na watu wanaikataa CCM na mambo yake yote. CHADEMA lazima watambue hilo na kukwepa mitego hii kizamani.
FJM
Naomba kutofautiana na wewe. Hivi wewe kazini/ofisini mwenu hamna annual awards? Hizi hutolewa kwa mfanyikazi bora, mbunifu, aliyekwenda extra mile, etc. etc. katika utekelezaji wa majukumu yake. Kwa hiyo kutambua na kuheshimu mchango wa mfanyikaz yeyote yule ni jambo zuri.
hapo umenena!Kiongozi, CHADEMA wanatakiwa wafanye mambo tofauti na CCM. Zawadi anayotakiwa kuinyemelea huyu Freeman Mbowe ni kuifikisha CHADEMA Ikulu. Narudia mtindo wa kupongezana kwa reja reja ni wa CCM, na watu wanaikataa CCM na mambo yake yote. CHADEMA lazima watambue hilo na kukwepa mitego hii kizamani.
Aache kula sitting allowance kwanza.anastahili kwa kweli,ni kiongozi mzuri,
Nakubaliana na hoja yako!kweli wewe ni GTNapinga hii hoja kwa sababu moja kubwa, Mbowe aliomba ridhaa ya kuongoza chama chake na akapewa. Kwa sasa anatekeleza majukumu yake kama wanavyofanya watu wengine i.e walimu, wafagia barabara etc etc. Tabia ya kupeana vi-heshima vya reja reja ya CCM na imeondoa kabisa maana ya utendaji kazi.
nadhani kwa sasa hakuna kitu cha kupongezana!Mpaka tutakaporiudisha rasilimali za watanzania mikononi mwwao,tuone haki ikitendeka bila kucheleweshwa,kikiwa na usawa kwa watanzania na maisha yakiwa bora kwa mtanzania ndio tutawapongeza hao waliokuwa viongozi wa mambo hayo mazuri!bado safari ni ndefu mno kuanza kutoa pongezi, mie nadhani ni muda wa kuhimizana!FJM Naomba kutofautiana na wewe. Hivi wewe kazini/ofisini mwenu hamna annual awards? Hizi hutolewa kwa mfanyikazi bora, mbunifu, aliyekwenda extra mile, etc. etc. katika utekelezaji wa majukumu yake. Kwa hiyo kutambua na kuheshimu mchango wa mfanyikaz yeyote yule ni jambo zuri.
ur a gt!