Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,066
- 18,349
Ha ha haaa hana nia nzuri na Melo huyu!!hahahaha, wanavyotaka kumdanganya "mlangila" melo aingie kwenye siasa! kwani wanaomjua ni wangapi? tena asijaribu kabisa, siasa inakufanya uchafuke na kumaliza rasilimali zako mfano pesa, muda na watu