Pendekezo: CHADEMA msimamisheni Tundu Lissu kugombea urais 2020

Mwanah Nyie watu wa ccm muogopeni Mungu.!!! Huyu Mzee mnamtukana matusi ya nguoni kisa tu kuihama Ccm? Ila mjue hayo matusi kwa vile tu unajaza tumbo na choo kwa mgongo huo wa hao wanaokutumikisha kama robot, ila si muda mrefu na wewe utakuwa tissue paper na utatumika na haohao kuchambia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio ni cha demokrasia, kujitangaza kugombea ni kuanzia ngazi ya chini ndani ya chama. Kisha chama kinatoka na jina moja.
Najaribu kuufikiria huo muziki 2020 kati ya Lissu na Magufuli sipati picha. Kwa vile ni kampeni haya mambo ya subiri tunachunguza kasema nini hayata kuwepo na ndio hapo ndio Watanzania watakapo ujua ukweli uliokuwa umefichwa kwa miaka mitano ya kuzuiwa kusema hadharani.
Tena ukizingatia hali ya kiuchumi kwa raia mmoja mmoja inazidi kudidimia kwenda chini hivyo kufikia 2020 usijekuta ukoka na majani ya mipapai ikawa imeidhinishwa kuwa nazo ni mboga
kweli mkuu Lissu ndo kiboko ya maguful..

Sent using Jamii Forums mobile app

Huo ndo ukweli!

Jamaa tayari kesha alienate kanda nzima [ya ziwa].

CHADEMA kura mtazitoa wapi zaidi ya kaskazini?

Zaidi ya huko kaskazini CHADEMA haina chake.

CCM ina dominate kwingineko kote na sasa huyo jamaa alivyoropoka kuhusu kanda ya ziwa ndo msahau kabisa maana CCM watapiga propaganda na kampeni ya kufa mtu huko na watu watapiga kura za hasira.

Hamna lenu 2020.
kura za wasukuma tu si lolote. najua wahaya na wakurya wajanja. watampa Lissu. Lissu the Great

[quote uid=419229 name="Sir John Roberts" post=22442750]acha kutukatisha tamaa we mchawi nini

Huo ndo ukweli!

Jamaa tayari kesha alienate kanda nzima [ya ziwa].

CHADEMA kura mtazitoa wapi zaidi ya kaskazini?

Zaidi ya huko kaskazini CHADEMA haina chake.

CCM ina dominate kwingineko kote na sasa huyo jamaa alivyoropoka kuhusu kanda ya ziwa ndo msahau kabisa maana CCM watapiga propaganda na kampeni ya kufa mtu huko na watu watapiga kura za hasira.

Hamna lenu 2020.

Kwa hzi siasa za Udini, Ukanda na Undugu alizoanzisha TL, hata hyo 20 per ni ya upendeleo! Magufuli kawapoteza sana.

Kete ya Ufisadi na Serikali dhaifu iliwabeba sana 2015 kurudi nyuma. Ssa hvi Serikali ipo strong ldara zote, jamaa wameibukia kwenye hoja dhaiiiifu za kufikirika.

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
ccm kila mtu kaichoka

Msitufanyie makosa ya 2015 kwa kumpiga chini babu Slaa na kumsimamisha EL.
Tunaomba 2020 mteueni TUNDU Antipas LISSU kupeperusha bendera yenu.
Kwa hali ya siasa ya Tz ilipofika, tuna hitaji watu kama kina LISSU ili nchi ikae sawa.
Tatizo lenu mnadhani ni kugombea tu na kushinda. Kwa akili hizi ccm ndiyo mtawala milele,

Nani Mzanzibari kati yao au Mzee ataigiza Uzenji!
Hahaahaahaaa. Mzee hatakubali kuwa mwenza wakati tayari katangaza nia akiwa Kenya, sasa wanaomtaka Lissu awe Mgombea Urais hawamtakii mema maana figisufigisu za Mzee zitamzika Lissu kisiasa.

Back
Top Bottom