Pendekezo: CHADEMA msimamisheni Tundu Lissu kugombea urais 2020

If I have to choose between one of them in this occasion, I could go with LEARNED BROTHER no matter what.
 
Babu kishajitangaza kuwa mgombea mteule kupitia tikiti ya chadema?
Kweli hiki ni chama cha demokrasia

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio ni cha demokrasia, kujitangaza kugombea ni kuanzia ngazi ya chini ndani ya chama. Kisha chama kinatoka na jina moja.

Najaribu kuufikiria huo muziki 2020 kati ya Lissu na Magufuli sipati picha. Kwa vile ni kampeni haya mambo ya subiri tunachunguza kasema nini hayata kuwepo na ndio hapo ndio Watanzania watakapo ujua ukweli uliokuwa umefichwa kwa miaka mitano ya kuzuiwa kusema hadharani.

Tena ukizingatia hali ya kiuchumi kwa raia mmoja mmoja inazidi kudidimia kwenda chini hivyo kufikia 2020 usijekuta ukoka na majani ya mipapai ikawa imeidhinishwa kuwa nazo ni mboga
 
acha kutukatisha tamaa we mchawi nini

Huo ndo ukweli!

Jamaa tayari kesha alienate kanda nzima [ya ziwa].

CHADEMA kura mtazitoa wapi zaidi ya kaskazini?

Zaidi ya huko kaskazini CHADEMA haina chake.

CCM ina dominate kwingineko kote na sasa huyo jamaa alivyoropoka kuhusu kanda ya ziwa ndo msahau kabisa maana CCM watapiga propaganda na kampeni ya kufa mtu huko na watu watapiga kura za hasira.

Hamna lenu 2020.
 
Back
Top Bottom