Nelson Mmari
Member
- Jun 5, 2012
- 8
- 6
R.i.p my fallen hero.
Kwa msiba huu tunaomba mkutano CDM square katika maombolezo ya mpiganaji Bob Makani kwani makamanda huwa hawaombolezi bali wanasonga mbele katika safari ya ukombozi ningeshauri Bob aagiwe hapo Jangwani aka CHADEMA Square wengi tupate fursa ya kumuaga.
Pia tupate muda wa kujuza kazi na imani ya Bob Makani
so umeona sehemu ya kuwasilisha maombi hayo ni jamii forums??? we wa wapi?? stupid....badala ya kutake tym kuomboleza, ushawaza ushabiki wa kisiasa,....the guy is a legend....tumheshimu, tusitumie kifo chake kujipatia political gain....
Wewe ndio bure kabisa mimi nazungumzia kumuaga kamanda hujui bila CHADEMA madhubuti nchi ingeyumba na ikumbukwe BOB ndio miongoni mwa waasisi wa chama kibaya kipi. Sidhani kuwa mtu akifariki chama husika kinapata political gain kwa kufanya maombolezo yake. Mungu ampe pumzisho la amani mzee wetu na kamanda wetu Bob Makaniso umeona sehemu ya kuwasilisha maombi hayo ni jamii forums??? we wa wapi?? stupid....badala ya kutake tym kuomboleza, ushawaza ushabiki wa kisiasa,....the guy is a legend....tumheshimu, tusitumie kifo chake kujipatia political gain....