John Magale Shibuda waziri wa nishati na madini!
Waislamu tunaonewa huu ni mfumo kristo.
hata kwa kuangalia uwezo wa kiutendaji bado watu wengine wa dini nyingine wana sifa zilizotukuka zaidi kiutendaji kuliko hao ...usiende mbali hivi akina bisimba, ananilea watatokana na viti vya kubebwa ama kura za majimbo yepi watakayokuwa na ubavu wa kushinda! kubwabwaja majukwaani ama katika semina si kipimo cha utendaji kazi bora.Nilidhani watu wanapewa nafasi kutokanaa na uwezo wao kiutendaji pasipo kuangalia dini au,au kabila.
Unajua 91% ya baraza lako ni Wakristo watupu? That reveals the hidden agenda behind CHADEMA!
Hilo baraza linaonyesha jinsi chadema wasivyokuwa nwa watu wa kuwawezesha kuunda serikali. DJ Mbowe awe rais wa nchi gani Madagascar?
Napendekeza Baraza hili la Mawaziri la CHADEMA uchaguzi mkuu 2015 ili liweze kutufikisha pale tunapopahitaji Watanzania:
1. Freeman Aikaeli Mbowe-Rais
2. DR. Wibroad Slaa-Waziri Mkuu
3. Ulimboka Stephen-Waziri wa Afya
4. Zitto Zuberi Kabwe-Waziri wa Fedha
5. Deus Kibamba-Waziri wa Sheria na Katiba
6. John Mnyika- Waziri wa Nishati na Madini
7. Jenerali Ulimwengu- Waziri wa Mambo ya nchi za nje
8. Godbless Lema-Waziri wa Mambo ya Ndani
9. Ananilea Nkya-Waziri wa Wanawake jinsia na watoto
8. Ezekiel Wenje-Waziri wa Kilimo na Uvuvi
9. Hellen Kijo Bisimba-Waziri wa Uhamiaji(wizara mpya)
10. Joseph Mbilinyi-Wizara ya Starehe burudani na Michezo
11. Rose Mwakitwange-Waziri wa utawala bora
Unaweza kuongeza au kuwaondoa wasiyofaa.
Nawasilisha.