Pendekezo-baraza la mawaziri la chadema 2015

Hilo baraza linaonyesha jinsi chadema wasivyokuwa nwa watu wa kuwawezesha kuunda serikali. DJ Mbowe awe rais wa nchi gani Madagascar?
 
Waislamu tunaonewa huu ni mfumo kristo.

duh we kweli kilaza sasa mnaonewa na nani kwani hilo baraza katangaza mwenyekiti wa chadema au ndio linaongoza nchi . Huyo kajieurahisha nafsi 2 kuandika hapo PEVUKA
 
Nilidhani watu wanapewa nafasi kutokanaa na uwezo wao kiutendaji pasipo kuangalia dini au,au kabila.
hata kwa kuangalia uwezo wa kiutendaji bado watu wengine wa dini nyingine wana sifa zilizotukuka zaidi kiutendaji kuliko hao ...usiende mbali hivi akina bisimba, ananilea watatokana na viti vya kubebwa ama kura za majimbo yepi watakayokuwa na ubavu wa kushinda! kubwabwaja majukwaani ama katika semina si kipimo cha utendaji kazi bora.
 
Watu wa muhimu na ingawa mara nyingi wanakuwa ignored lakini impact yao ni kubwa ni MAKATIBU WAKUU.
 
Napendekeza Baraza hili la Mawaziri la CHADEMA uchaguzi mkuu 2015 ili liweze kutufikisha pale tunapopahitaji Watanzania:
1. Freeman Aikaeli Mbowe-Rais
2. DR. Wibroad Slaa-Waziri Mkuu
3. Ulimboka Stephen-Waziri wa Afya
4. Zitto Zuberi Kabwe-Waziri wa Fedha
5. Deus Kibamba-Waziri wa Sheria na Katiba
6. John Mnyika- Waziri wa Nishati na Madini
7. Jenerali Ulimwengu- Waziri wa Mambo ya nchi za nje
8. Godbless Lema-Waziri wa Mambo ya Ndani
9. Ananilea Nkya-Waziri wa Wanawake jinsia na watoto
8. Ezekiel Wenje-Waziri wa Kilimo na Uvuvi
9. Hellen Kijo Bisimba-Waziri wa Uhamiaji(wizara mpya)
10. Joseph Mbilinyi-Wizara ya Starehe burudani na Michezo
11. Rose Mwakitwange-Waziri wa utawala bora

Unaweza kuongeza au kuwaondoa wasiyofaa.
Nawasilisha.

Threads zingine za hapa JF zinatia kinyaa kwelikweli.
 
Hivi akina Stephene Ulimboka, Rose Mwakitwagge, Kibamba, Bisimba, Ananelia Nkya, Jenerali Ulimwengu, Wamekuwa lini wanachama wa CDM? Au siku hizi kila mtu anayeikosea serikali tayari anakuwa mwanachama wa CDM. Basi kama ni hivyo wajulimshe pia Sitta, Mwakyembe!

BTW, Katiba mpya itakayotumika baada ya 2015, HUTUTAKI WABUNGE WAWE MAWAZIRI!
 
Napendekeza Baraza hili la Mawaziri la CHADEMA uchaguzi mkuu 2015 ili liweze kutufikisha pale tunapopahitaji Watanzania:
1. Freeman Aikaeli Mbowe-Rais
2. DR. Wibroad Slaa-Waziri Mkuu
3. Ulimboka Stephen-Waziri wa Afya
4. Zitto Zuberi Kabwe-Waziri wa Fedha
5. Deus Kibamba-Waziri wa Sheria na Katiba
6. John Mnyika- Waziri wa Nishati na Madini
7. Jenerali Ulimwengu- Waziri wa Mambo ya nchi za nje
8. Godbless Lema-Waziri wa Mambo ya Ndani
9. Ananilea Nkya-Waziri wa Wanawake jinsia na watoto
8. Ezekiel Wenje-Waziri wa Kilimo na Uvuvi
9. Hellen Kijo Bisimba-Waziri wa Uhamiaji(wizara mpya)
10. Joseph Mbilinyi-Wizara ya Starehe burudani na Michezo
11. Rose Mwakitwange-Waziri wa utawala bora

Unaweza kuongeza au kuwaondoa wasiyofaa.
Nawasilisha.

1. Mbowe awezi kupewa nchi (Rais)!!, Busara anazo lakini hiyo nafasi aachiwe DR.Slaa. Ndiye jembe pekee ktk nafasi hiyo, labda kura ziibiwe tena.
 
Hebu jaribuni kufuatilia posts nyingine za mleta thread hii katika topics tofauti then mtajua alimaanisha nn!
 
Back
Top Bottom