nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,281
- 3,244
umesema....hilo la kuwapa mbuga waarabu ndilo haswa linalofanya watawala wa ccm waigombanie arusha kwa udi na uvumba....kama kuna kitu nchi hii kinamnyima usingizi JK ni jimbo la arusha....watawala wamediriki hata kuipinga amri ya UNESCO ya kutoruhusu ujenzi wa highway kwenye mbuga...kuanzia arusha hadi serengeti.....musoma..ili tu wafanikishe malengo yao machafu ya kuwekeza arusha kwa kupitia mbuga....inauma yaani....Kujipendekeza kwingine kunazidi urefu wa akili yako Arusha ina hati chafu fedha za wananchi zimegawiwa akina Salma,Ridhiwani Jakaya leo unawaambia watu wa Arusha ujinga gani,Tangu 1995 CCM haijawahi kushinda Arusha na haita shinda kwa sababu matatizo ya msingi na mtandao wa mfumo wao mbofu wa uboreshaji wa huduma za jamii Arusha hawajaufanyia kazi na hata akili za namna ya kufanya hawana zaidi ya kuchora raketi waibe kiwanja kipi,ngozi,ipi dini gani,na mbuga gani wawape waarabu ,Arusha wamechoka kuwa waosha makalio ya wazurumaji tena wana Arusha ni waelewa hawatakubali kupakwa masizi wakaambiwa ni poda