Penda usipende CCM inachukua jimbo la Arusha kwenye uchaguzi mdogo

huyu anataka tu kupima imani yetu na kutushika ili tuweke comments zetu hapa kwenye post yake ila mm kama mtoto wa kimaasai sijaona hiyo mambo na wala haitatokea nyakati hizi KINAJA VUTA KAULI YAKO HARAKA NA MARA NYINGINE JISEMEE WEWE USITUJUMUISHE SISI KATIKA NDOTO ZAKO ZA MCHANA
 
Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:

....kweli ukistaajabi ya Musa utaona ya.......hizi ni ndoto za alinacha,believe me o not!...cheza na arusha ukafikiri ni bagamoyo!........halafu unasema sisi!,sema wewe sio kujumuisha na watu wengine wakati hayo ni mawazo yako!.....kajipange
 
Wewe ni kijana kweli? Au msukule wa CCM????
Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:
 
Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:
Hongera Genious wa Vilaza!
 
Mimi nipo Arusha na ni mwanachama wa CHADEMA lakini nimeshapata ushawishi wa vijana 10000 mpaka sasa hivi wenye kadi za CHADEMA. Kwa hiyo namsubiri Nape afike A - TOWN kuvisha watu uzalendo.Na muelewe kwamba nguvu ya uma ipo CCM.

Mpumbavu hajawahi kuwa mwanachama wa CDM. Wana chama chao
 
Walichukua hilo jimbo liwasaidi nini? baada ya kufikiria namna ya kuondoa ugumu wa maisha kwa wananchi,unahangaika na jimbo.Kweli hii chama ni urafi mtupu, fikra zimehama.
 
Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:

Mdomo mali yako haulipiwi kodi
 
Sipingani na wewe unategemea nani anasimama na nani; wapiga kura wengi tunaangalia mtu zaidi ya chama

Wewe na wewe unaota sana wapiga kura wapi mnaangalia mtu na ni wewe nanani? Embu tuondolee hao wadudu wako waliopanda kichwani hapa wanamaliza mfumo wa kufikiri. Tatizo lakuendekeza kale kamchezo mpaka umeukwaa mapema tuache bana
 
Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:

usiwasemee vijana sema wewe mwenyewe binafsi, kwa hilo ulilolisema nahisi kama unaota mchana kwakuwa hata CCM wenyewe watakupinga. Tafuta cha kuandika mkuu!.
 
Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:
Mpo wangapi? Kuitetea ccm Arusha ni sawa na uwendawazimu, jaribu kupima joto vijiweni, kwenye baa, sokoni, stand na kwingineko alafu urudi tena hapa.. Juzi hapa mama mmoja mtu mzima muuza mitumba kafungua beli lake la soksi ndani kakuta pair moja ya soksi za kijani.. kwa hasira akazitupa! LONGB UMEPOTEA NJIA..
 
Wewe na wewe unaota sana wapiga kura wapi mnaangalia mtu na ni wewe nanani? Embu tuondolee hao wadudu wako waliopanda kichwani hapa wanamaliza mfumo wa kufikiri. Tatizo lakuendekeza kale kamchezo mpaka umeukwaa mapema tuache bana

[B Suzie kama uliwahi kushiriki midahao (debate) shuleni lazima kuwe na pande mbili wanaounga mkono hoja na wanaopinga hoja nia ikiwa ni kuchochea majadiliano; halikadhalika humu wengine tunafanya hivyo kukoleza mjadala kwa hiyo Suzie badala ya kutumia ligha ambayo siyo ya staha ungejenga tu hoja za kupinga zangu[/B]
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom