Penda unapopenda kwanza.

Penda umpendae,usijilazimishe kupenda kumridhisha mtu hata siku moja.nimejikuta kujilazimisha kumpenda mtu.najuta.be aware..

yamenikuta haya ila nimejuya namna ya kujitoa ni kumpenda MUNGU na kuchagua YESU kuwa kiongozi wa maisha yako then na kumpa nafasi ya kutawala alafu wengine ltr chaguo jema halikuangushi cheers
 
ishu siyo kupenda unapopendwa bali ni kulea ama niite kupalilia hilo penzi. manake kweli atu wengi wanafikir kuwa kupenda tu ndo basi kumbe uinahtajika kupalilia hilo penzi kila iitwapo leo.
Rogi maisha yako hivi mtu akupendaye kwa dhati, lazima moyo wako utafunguka sana tu yeyote ambaye moyo wake unafunguka kwake ila wako hauko kwake jua hapo pana tatizo. either pana unafiki uliojificha ndani yake. Mungu hakupi kitu kibaya ama asichokikusudia maishani mwako.
 
Last edited by a moderator:
Kumpenda asiyekupenda na kupendwa na usiyempenda vyote vinaumiza. Bora kupendana.
 
ishu siyo kupenda unapopendwa bali ni kulea ama niite kupalilia hilo penzi. manake kweli atu wengi wanafikir kuwa kupenda tu ndo basi kumbe uinahtajika kupalilia hilo penzi kila iitwapo leo.
Rogi maisha yako hivi mtu akupendaye kwa dhati, lazima moyo wako utafunguka sana tu yeyote ambaye moyo wake unafunguka kwake ila wako hauko kwake jua hapo pana tatizo. either pana unafiki uliojificha ndani yake. Mungu hakupi kitu kibaya ama asichokikusudia maishani mwako.

Ahsante..sasa mimi ndo namtafuta wa hivyo dadangu.
 
Hapo kwenye bold ni ngumu kidogo kwa maisha ya sasa.

hakuna ugumu rogi, tatizo watu wanaona kukaa muda mrefu bila wapenzi wanachelewa maisha wakati inawezekana mungu amekupangia upate mpenzi wa dhati baada ya miaka 10 kutoka sasa. Pia maisha ya sasa inabidi tujifunze kupenda. Unapopendwa jifunze kupenda.
 
sasa mbona mimi niilikaa miaka 24 mpk kuwa na mpenzi na still sijapata alienipenda Catherine
 
Last edited by a moderator:
Ahsante..sasa mimi ndo namtafuta wa hivyo dadangu.

Nyie si mnasubiria wenye bambataa kubwa na e-pin, hahaha ndo maana mkiwapata wenye bambataa wanakuwa hawana true love coz wanaangaliwa na wengi, wasichana wa kawaida mara nyingi huwa wanakuwa na true love. kama una shift your mind na kumpenda yeyote regardless ya kuwa na bambataa kubwa then utapata tulizo la moyo, otherwise kama utaangalia muonekano wa nje bdo utaisoma namba Rogi wangu
 
Wala si kuwa tunasubiri wenye bambataa Mrembo...kwangu mimi kipaumbele ni mwanamke wa kawaida sana...kwasababu maisha sio mwanamke mwenye sura nzuri au bambataa.
 
Last edited by a moderator:
hahaha si bora tu nimalizie maisha yangu hapa duniani nikiwa singo kama ndo hivyo..

msome mrembo hapo chini, inawezekana unataka mwanamke mwenye wowowo kubwa, macho mazuri, miguu ya bia, nywele ndefu, rangi nzuri, mcheshi, mvumilivu, mwaminifu, mchamungu.. What am trying to say ni kuwa watafuta full package. Utaitoa wapi Rogi
 
Mpe huyo, huwa haviwezi kuexist vyote kwa pamoja, si ulisoma ile story ya msichana aliyekuwa kwenye foleni akaletewa vidumu vya mafuta na majibaba kama watatu hivi? sasa hao warembo wanaangaliwa na kila mtu, maisha ni magumu nao ni binadamu kama sisi mwisho wa siku wanaingia kishawishi na kusaliti wapenzi wao kama Rogi ambae ni wa kipato cha kawaida.
 
Last edited by a moderator:
msome mrembo hapo chini, inawezekana
1.unataka mwanamke mwenye wowowo kubwa, macho mazuri, miguu ya bia, nywele ndefu,
2.rangi nzuri, mcheshi
, mvumilivu, mwaminifu, mchamungu.. What am trying to say ni kuwa watafuta full package. Utaitoa wapi Rogi
Catherine mm nataka namba 2 na sio namba 1
 
Last edited by a moderator:
Mpe huyo, huwa haviwezi kuexist vyote kwa pamoja, si ulisoma ile story ya msichana aliyekuwa kwenye foleni akaletewa vidumu vya mafuta na majibaba kama watatu hivi? sasa hao warembo wanaangaliwa na kila mtu, maisha ni magumu nao ni binadamu kama sisi mwisho wa siku wanaingia kishawishi na kusaliti wapenzi wao kama Rogi ambae ni wa kipato cha kawaida.

sio cha kawaida ni cha chini Mrembo
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom