instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 11,383
- 14,194
Rais Samia anaenda Bukoba!
Najua viongozi wa manispaa ya Bukoba watampitisha sehemu ambazo wanajua wao...na watafanya hasione kabisa uchochoro huu unaoitwa stendi kuu ya mkoa unaochafua mji wa Bukoba.
Just imagine atafungua huo msikiti mita mbili kutoka ilipo hii stendi ya umma.
Mimi nilitegemea may be mama samia anaenda kufungua mradi wa stendi kuu ya mabasi kule kyakairabwaa (ambao sijui nao unakwamishwa na nini) au may be anafungua ujenzi wa soko kuu la Bukoba, au kuna kampuni kubwa limejitokeza kununua vanilla na kahawa ya bukoba so anatia saini mkataba au basi
Barabara sasa, barabara zote karibu na huo msikiti lami imekatikakatika na haina mitaro bado ni finyu kweli kweli, lakin anaweza hasizione kabisa yani hizi siasa bwana.
Mita 500 kutoka msikitini kuna soko kuu la mkoa..soko lenye wafanyabiashara zaidi ya 5000 na wanalipa kodi kila siku lakini mazingira yao sasa full matope kama unavyojua mvua za bukoba.
Anyway mimi niliachaga kuipambania Bukoba, maana kuna tatizo kubwa sana nchini kuanzia Bukoba na Tanzania nzima.
Tazama msikiti ulipo na stendi ilipo, na hataiona stendi