Pembe za ndovu

Pembe za ndovu

NYAHENDE

New Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Jana wana harakati walifika Dar kutoka Arusha wakipinga mauaji ya tembo wakati inaonekana 75% ya pembe za ndovu haramu duniani zinatoka Africa wakati TZ inatoa zaidi ya 41% peke yake.mi ndhani serikali inawajua hawa wahusika na kuto wakamata ni kukiri kwamba nao ni wahusika no1,serikali iungane na wana harakati hao kupinga vita na kuwaelimisha wananchi wa maeneo ya jirani..
 
Back
Top Bottom