pembe za ndovu zakamatwa ruvuma

delusions

JF-Expert Member
Jan 11, 2013
5,003
1,278
Askari mahiri wamekamata pembe za ndovu 18 zenye thamani ya tsh 200 milioni wilaya ya tunduru mkoa wa ruvuma pembe hz ni kutoka tembo 9 waliouwa watuhumiwa wako rumande big up sana polisi waliofanya uzalendo kwa kukataa kuhongwa source chanel ten newz saa 2
 
Waliokamata wametumwa pia waliokamatwa wametumwa. Watamalizana kimya kimya Kinana Kinana.
 
Ruvuma ni kati ya vyanzo vikuu vya uharamia wa TemboTanzania.
kama hao wamekamtwa ni kutuzuga wananchi tujue Serikali inafanya kazi.
 
udutyrep.jpg


Sent from my HTC Desire S using Tapatalk 2
 
Mil 200 wangeweza kukimbia nazo uzalendo wa kuigwa tumejifunza hapa
 
Back
Top Bottom