yaani hako kila rangi itapendeza kasoro yellow na green, lol!hata nami nimekapenda kasimple ka gwanda; nafikiri hata black yake yaweza kuwa poa
How do you do that? I mean kuenlarge picha.
.How do you do that? I mean kuenlarge picha.
Una enlarge tu afu ina enlargika yenyewe..
Du! Watu mnajua kufanya assessment si mchezoHicho kitumbo cha mimba au kongoro au chipsi kuku + bia?
Najaribu.
Kaunga
==
Jinsi ya kukuza image - Picha ndani ya JF
Mkuu unajua tatizo hizo picha huwa zipo kama attachment = hivyo huwa ni ndogo. Ila kama uki-move mouse kwenye picha ukaona ina-maximise na kuwa kubwa fuata haya maelekezo
Kwa Crome web browser fanya hivi --- (ingawa the same can be done kwenye browsers nyingine)
Point mouse kwenye picha hiyo ndogo .... subiri iload ili iwe picha kubwa - ikisha-load na kuwa kubwa - RIGHT CLICK hiyo picha kubwa alafu chagua "COPY IMAGE URL"
Ukisha-copy hiyo image URL ya picha kubwa iliyoload fungua sehemu ya ku-post mfano: "Reply to Topic" ... yaani kama unapost normal katika JF
Chagua ICON inayoitwa INSERT IMAGE
Ikifunguka pop-up window chagua "FROM URL"
Untick "Retrieve remote file and reference locally" == yaani ondoa tick hapo
Bonyeza OK - then post
Utakuwa tayari umeshamaliza.
Jaribu ukikwama niulize tena ntakufafanulia