Peeeeeee ooooooo p leeeeeeee sssssss ......................................

Peeeeeee ooooooo p leeeeeeee sssssss ......................................

lunyiliko

Senior Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
171
Reaction score
79
Mambo zenu waungwana naombeli mnipokee kwa miguu miwili. Mini ni mwenzenu nimejivua gamba, nimekuwa kijana
 
mbona mmekaa kimnya waungwana. hamtaki kunipokea nini !
Karibu mkuu!Ukitaka kupokelewa vizuri njoo Jumatatu, week end hii watu wanawaza mambo mengine.Zingatia kanuni na taratibu za JFTunategemea kupata mambo mazito kutoka kwako.
 
Usikonde lunyiliko,karibu sana jamvini.Weekend ndo hii wanywa nini?
 
Karibu mjengoni nakuhusia ya huku yaache huku huku,yasifike kwa pilato lugha ya matusi no! kujeli kidogo inaruhusiwa ila isivuke mipaka.Kalibuuuuuuuuuuuu
 
Karibu sana na ujisikie km uko na washikadau! Karibu sana!
 
Miguu hiko available but mikono...

Karibu saana.
 
Karibu sana ila kuwa makini na magamba,usiendekeze dhiki za kwenda kuchukua posho kwa NAPE wenye kutumia makamasi kufikiri
 
Karibu sana. Kuwa makini na lugha mbaya.
 
Back
Top Bottom