BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,079
Bongo best pads ni HQ ni nzuri sana hzo kwa matumizi zinauzwa elfu Tatu kwenye maduka ya dawa na super market.
zinatengenezwaa wapiii
Mimi naomba kitu kimoja tu,DHUMUNI la kuuliza hivi tafadhali nisaidie mwanamama mwenzio
Anabeba mabox anataka aje mavumbini. Anataka ajue kama huku ziko nzuri au mnatumia nepi ili kama vipi aje na mzigo wa kutosha toka majuu.
Haya sasa mjibu mwanamke mwenzio swali lake.
Nlihisi jambo kama hilo mkuu,mawazo yetu gongana. Ngoja aje atupe maelezo yake binafsi
Umejuaje ni mwanamke?Daaaa! nimegudua humu JF kuna wanawake wahache sana au hampendani. Mwenzenu Belinda Jacob kauliza swali la muhimu sana tangu jana saa 9.59 alasiri lakini mpaka muda huu kuna wanawake wachaheche sana ie 4 tu ndiyo waliomjibu/msaidia,Why? Lala1 and company uko wapi?
Mimi sio "mkuu". mimi ni "babu" yenu.