Tampon sio,nzuri kwa sababu. Hedhi, Uchafu unaotoka kwa mfumo wa damu. Unatoka ndani kwenda nje,ukishaisokomeza tampon yako Huo uchafu unakuwa huko ndani tu,so possibility ya kuwa na funguz na other infection ni Kubwa mno
Mmh wadada humu kujifanya mnaona kinyaa. Mtadhani mkinya hamjinawishi. Jee mtaweza kuuguza? Mfano uwe na mama au ndugu yako wa karibu (siombei) awe na ugonjwa ambao umfanyie kila kitu(kuogesha, kumnawisha akipata haja kubwa au ikibidi kumbadilisha pedi) kama huna uwezo kabisa trust me kinyaa unaweka pembeni na you will always find a way ya kuanika au kufua maana wapo watu hawana uwezo wa pedi za kila mwezi.mimi nilishapitia huko ingawa ki ukweli haikuwa rahisi sec.sikuwa hata na boyfriend wa kunipa hata hela life ilikuwa so tough.
Kuna Uzi humu wengi walikuwa wanalalamika kama zile sijui HQ zinawawasha Mara sijui zinafanyeje kwenye papuchi!
Ngoja niutafute ule Uzi nikiupata nakuwekea hapa