Mawasiliano 0765554391.
Habari wamama na wadada nauza pedi nzuri sana za kufua. Ni nzuri sana kiafya hazina kemikali kabisa, ni pedi zinazodumu kwa muda mrefu sana, unatumia mwaka mmoja na zaidi. Zipo 4 kwenye packet. Na packet moja ni Tsh 10,000/= Zinapatikana Arusha,kwengine kote tunatuma kwa Bus kwa uaminifu sana, HAKUNA UTAPELI.![]()
Mawasiliano 0765554391.![]()
![]()
Okay ..Santee kwa ushauri wakoKwa Wanawake wa mjini kama Dada zangu akina Nifah na miss chagga kwa jinsi walivyo Masista duu na wanavyoona Kinyaa sidhani kama hizi watathubutu kuzitumia. Na si hawa tu bali hakuna Demu wa Kimjini mjini atakayezitumia. Yaani wazitumie halafu wazifue zikauke na wazitumie tena? Vijijini soko lao litakuwa zuri ila siyo huku down Town.
hii me siwezi kaka acha tu hii fashion inipiteKwa Wanawake wa mjini kama Dada zangu akina Nifah na miss chagga kwa jinsi walivyo Masista duu na wanavyoona Kinyaa sidhani kama hizi watathubutu kuzitumia. Na si hawa tu bali hakuna Demu wa Kimjini mjini atakayezitumia. Yaani wazitumie halafu wazifue zikauke na wazitumie tena? Vijijini soko lao litakuwa zuri ila siyo huku down Town.
ila kuna dada nitampa namba yako atachukuaHabari wamama na wadada nauza pedi nzuri sana za kufua. Ni nzuri sana kiafya hazina kemikali kabisa, ni pedi zinazodumu kwa muda mrefu sana, unatumia mwaka mmoja na zaidi. Zipo 4 kwenye packet. Na packet moja ni Tsh 10,000/= Zinapatikana Arusha,kwengine kote tunatuma kwa Bus kwa uaminifu sana, HAKUNA UTAPELI.![]()
Mawasiliano 0765554391.![]()
![]()
Poa ..asante mumy..ila kuna dada nitampa namba yako atachukua
hayo maji ya kufulia nayo ni budget kubwa zaidi. maana hadi damu yote itoke ni ndoo tatu.ndoo moja bukuNaamini hata mijini watapata wateja wengi tu maana ukweli ukiacha hao uliowataja(japo siwafahamu) na wengineo wanaojiweza lakini pia wapo wengine wengi pamoja na kuishi mjini lakini hali zao za kiuchumi si njema
Hapo ndo inategemea na usafi wa mtu binafsi ila ni rahisi sana kuzifua,hazitumii ata nguvu nyingi. Material ni soft sanaWanawake wengine chupi tu zinakakamaa ...sasa hizo pedi si watavunda kabisa
Ni kweli ukiachilia mbali hali ya uchumi..kiafya ni salama sana kwasababu hazina kemikali yoyote.Naamini hata mijini watapata wateja wengi tu maana ukweli ukiacha hao uliowataja(japo siwafahamu) na wengineo wanaojiweza lakini pia wapo wengine wengi pamoja na kuishi mjini lakini hali zao za kiuchumi si njema
Hazihitaji maji mengi hata. Maji kiasi cha kawaida tu. Na zinatakata vizuri sana, maana ni nyepesi.hapana kwa kweli .utaosha na maji ndoo ngapi kwanza?
Ni very suitable since zipo meant kwa wennye heavy flow.mkewangu huwa anazo hizi ila anazitumia sana occasionally labda kama yuko safarini au wakati anahisi amessup kuweka record za siku zake au mara nyingi kwenye siku samwisho mwisho za mzunguko wake wa mwezi..!sidhani kama zinakuwa sweet able kutumia kipindi cha hedhi
Kwa Wanawake wa mjini kama Dada zangu akina Nifah na miss chagga kwa jinsi walivyo Masista duu na wanavyoona Kinyaa sidhani kama hizi watathubutu kuzitumia. Na si hawa tu bali hakuna Demu wa Kimjini mjini atakayezitumia. Yaani wazitumie halafu wazifue zikauke na wazitumie tena? Vijijini soko lao litakuwa zuri ila siyo huku down Town.
sasa ufulie pedi maji machafu tena si itakuwa shida?Huyo mwenye uwezo wa kununua hayo maji bila shaka hatokuwa na haja kuangaika na hizo pedi lakini ukweli kwa uswahilini watu wengi wanatumia maji ya visima vifupi kwa kufulia,kuogea na hata kupikia ukiona ananunua maji ya dumu hayo yatakuwa ni ya kunywa tu,hao ndio ninaowazungumzia.
nadhani wewe ni mwanaume .kuna mambo huyajui niachie tu hapo .Hazihitaji maji mengi hata. Maji kiasi cha kawaida tu. Na zinatakata vizuri sana, maana ni nyepesi.
Mimi ni mdada ninazitumia tangu mwaka jana hivyo ninaelewa ninachokisemA.nadhani wewe ni mwanaume .kuna mambo huyajui niachie tu hapo .