Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
kukatakata kwa pd proxy kunachangiwa na basi letu pedwa la davo kufika kb 0 katika downloading speed,kusole tatizo la kukatakata inabidi kusolve hilo tatizo basi lisifikie 0 kb download speed,inabidi mkuu tu/udevelop mechanism katika hilo
hata mimi nimeona hilo niko dodoma natumia pd proxy speed ni slow balaa
nami nipo dom, iko so slow nimeamua kuachana nayo. Natumia pdproxy. Naona ni utapeli flan
Kama ni maeneo ya chuo basi ujue users ni wengi hivo mnakula width sana...Indeed kuna Hizi VPN zinakuwa majanga maana,mm nikiangalia Voucher nilizouza na zilizo Active napata majibu kuwa sio wote wako satisfied
sasa hiyo TG inaoperate kama PD au nahitaji application tofauti?
Na vocha za TG ni sawa na PD au tofauti?
Kwa kifupi hizi ngoma mbili ni kama Voda na Airtel au ni kitu kimoja?
yaani umeona kufuta jina ni secure kuliko kufuta hizo portPD na TG ni vitu viwili tofauti kabisa, PD inatumia PD Proxy(VPN client) na TG inatumia Tunnel Guru(VPN client) ; ANGALIA PICHA HAPO CHINI
View attachment 124028
kaka mimi nipo kibaha huku yani watumiaji hapa hatuzidi hata 20..speed ilikua nzuri sanaaa ila kwa wiki sasa inazingua torrents zote chali..sasa sijui tatizo ni la pd au basi letu.....
yaani umeona kufuta jina ni secure kuliko kufuta hizo port
kaulizen zantel waliblock vp?
Usijali Port huwa zinabadilika badilika hiyo sio ishu hata kidogo
ukiona hivyo ujue basi halifiki downloading speed 0 kb,ila kufikia hivyo inategenmeana sana na enep ulilopo sasa hiivi nimeahama location hikatikati hata kwa massa matatu tofauti na mwanzo ilikuwa kila baada ya dk kumi inakata,mimi nimelifanyia uchunguzi hilo swala na nimejithibitishia naloHapo kwenye mkazo sio sahihi
mm natumia version mpya ya OpenVPN haikati hata chembe hata siku mbili bila kuzima PC ikitokea ujue davo yenyewe imekata
we unafanya mchezo na useme sio issuee lkn wakizifix hizo loopholes hadi upate nyingine utalia
nakushangaa unasema zinabadilika wakati wewe unatumia za copy ungekuwa umeweka unique zako ningekuelewa
ni ushauri wa bure...fuatilia Nigeriia story illiyowapaata na MTN
There is a way to identify open port
hacha mchezo barabarani kijanaThere is a way to identify open port