Pd proxy kwa modem mbili....!

Pd proxy kwa modem mbili....!

hivi inawezekana kweli.....?😎
  • Hapana, Haiwezekani.
  • Kama lengo ni kutumia modem zaidi ya moja , Basi hamia TunnelGuru
  • HTTP tunnel ya Guru internet inakubali kuunga modem zaidi ya moja.
​Karibu.
 
  • Hapana, Haiwezekani.
  • Kama lengo ni kutumia modem zaidi ya moja , Basi hamia TunnelGuru
  • HTTP tunnel ya Guru internet inakubali kuunga modem zaidi ya moja.
​Karibu.
hivi tunnel guru iko fasta kama ilivyo pd proxy mkuu....
 
  • Hapana, Haiwezekani.
  • Kama lengo ni kutumia modem zaidi ya moja , Basi hamia TunnelGuru
  • HTTP tunnel ya Guru internet inakubali kuunga modem zaidi ya moja.
​Karibu.

'mkuu sijakupata hapa unamaanisha modem mbili kivipi kiongozi...'
 
anamanisha kutumia modem mbili na kufanya connection moja iliyo strong.. si mbili 2 unaweza kutumia zaid ya modem 2 kwa kutumia program ya connectify dispatch.. hii zaid kwa wale wanaexperiance slow internet speed.
 
hivi inawezekana kweli.....?😎

Tumia maelezo mazuri kidogo ila nilivyoelewa:
si unataka tumia Hii kitu na Connectify dispatch?
Kama unataka Hivo tafuta Connectify Dispatch Version 6 ndo Funga kazi
kuna version ya Dispatch utablock local ports zako kwenye Firewall na PD Proxy haito-connect hata kwa Dawa
Version 5 ya kununua alikuwa nayo one of my client lkn PD ilikuwa haiingii kabisa lkn walipofika 6 ikapiga fresh
Try out Version 4.2 ipo torrent ila Nimeweka link HAPA

Above All kaama unataka hii modem nambie ndo baba lao bei 90,000/= download speed ya Torrent inaenda 2.3MB/s
Jishuhudie mwenyewe hapa chini
vlwwted75trn7rlgt3ly.png


Baba lao Huyu hapa
HUAWEI_E3131_3G_USB_STICK_21Mbps_downlink_2.gif
 
hivi tunnel guru iko fasta kama ilivyo pd proxy mkuu....
  • Inategemeana na server ina load kiasi gani hiyo unayotumia kwa wakati husika.
  • Iwe ni PD Proxy au TunnelGuru
  • Jaribu Guru kwa demo server ujionee wewe mwenyewe. Kwa maelekezo ya Guru ingia hapa
 
Back
Top Bottom