pd proxy internet speed

pd proxy internet speed

kichwanazi

Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
89
Reaction score
9
msaada wakuu nitawezaje kuongeza speed ya kudownload kwenye computer yangu angalau transfar rate kwenye idm ifikie 1Mbps up to 2Mbps,kwa sasa spidi yake ni ndogo sana hiyo hapo chini........
Capturejj.JPG
 
huwezi hio speed yako yenyewe ni around 5mbps na modem za kibongo zinaishia 7. ni imposible kupata 1MBps ya idm kwa modem hz.
 
msaada wakuu nitawezaje kuongeza speed ya kudownload kwenye computer yangu angalau transfar rate kwenye idm ifikie 1mbps up to 2mbps,kwa sasa spidi yake ni ndogo sana hiyo hapo chini........
View attachment 108361

Kwanza Jibu haya Maswali:-
  • Je unafahamu tofauti ya KB/s na Kbps, Au tuseme MB/s na Mbps.
  • Kama umejibu ndio swali la kwanza, Bainisha units za "Internet Speed" na "Data Transfer Speed ".
  • Je IDM inaonyesha "Internet Speed" au ni "Data Transfer Speed ".

IDM yako inasoma 646.009 KB/s ambayo ni 5.168mbps (ukilinganisha) hivyo swali lako siyo Valid [Unachokiuliza ni kupunguza speed Kupata 1mbps (125 KB/s ) 2mbps (250 KB/s ) ]. Kumbuka kama upo eneo zuli la 3g coverage speed ambayo utakuwa unaisoma kwenye idm ni kati ya 500 KB/s hadi 900 KB/s.

Tena huyu apataye hiyo 900KB/s (7.2mbps) inawezekana yupo jirani na mnara na ametumia "IDM optimiser" tena wakati huo ni yeye pekee anatumia internet, Pili kumbuka modem hizi latest tunazotumia maxmamu speed yake ni 7.2mbps na hii mitandao yetu mingine inadai ina coverage 3.75g lakini hamna kitu. huwa inafika kwenye average ya 6.5mbps (Hii inasomeka kwenye dashboard ya modem na siyo kwenye IDM).

NB:

  • Maelezo haya yanawahusu watumiaji wa modem moja.
  • Kumbuka unaweza kutumia modem zaidi ya moja kwa mara moja na kufikisha speed zaidi ya 14mbps [kwenye dashboard ya Dispatcher] hapa nazungumzia watu kama Paje , e2themiza na wengine.
Karibu

Ndugu kichwanazi jiongezee maalifa kwa kupitia hizi links

Data rate units
Code:
http://en.wikipedia.org/wiki/Data_rate_units

KiloBytes vs. kilobits vs. Kibibytes
Code:
http://lyberty.com/encyc/articles/kb_kilobytes.html
 
Asante sana Mwl.RCT kwa elimu yako murua.
 
Wana JF kwa pamoja tunaweza, Tuko pamoja Mkuu CORAL . Karibu

Naomba ufafanuzi kwenye hili tangazo :
GET PD PROXY PREMIUM ACCOUNT
4Unlimited Internet

@10,000 /- PER MONTH
Sms to: 0768 924 841

Kabla sijaku-sms plz!!
 
Naomba ufafanuzi kwenye hili tangazo :
GET PD PROXY PREMIUM ACCOUNT
4Unlimited Internet

@10,000 /- PER MONTH
Sms to: 0768 924 841

Kabla sijaku-sms plz!!

  • Utakuwa na uwezo wa ku_download/ku_upload bila kikomo.
  • Kutazama onlineTV 24/7.
  • Kutazama/kutembelea "reginal restricted site" mfano VEVO, NETFLIX, HULU nk.
Kwa cost ya wastani wa tsh 334/- Per day [Yaani buku 10 kwa siku 30], Kwa ufafanuzi zaidi Tumia hiyo namba [sms], Au njoo chemba kwa PM.

Karibu.
 
Ok ngoja nije chemba...
 
Jaribu hii kitu...SpeedConnect 80Setup

Mkuu speedconnect hii ni web accelerator, Impact ya matumizi ya web accelerator itajionyesha kwenye kasi ya kufunguka kwa page katika web browser na siyo katika download speed kwenye IDM. Kumbuka Internet speed inayokuwa provided ISP huwezi kuiongeza. Kama ISP anatoa mfano 3mbps. Hautaweza kuibadili.

  • Mfano wa web accelerator ni Opera turbo (kwa sasa wanaiita off line mode) hii inapatikana bure kwa watumiaji wa Opera browser.
  • Kuna web accelerator za kulipia mfano ni hiyo SpeedConnect na Cproxy (Mimi natumia hii Cproxy- Tazama picha)
22-08-2013 08-45-20 WEB ACCELERATO.png​
About web accelerator
A web accelerator is a proxy server that reduces web siteaccess times. They can be a self-contained hardware appliance or installable software.
Web accelerators may be installed on the client (browsing) computer / mobile device, on ISP servers, on the server computer/network, or a combination. Accelerating delivery through compression requires some type of host based server to collect, compress and then deliver content to a client computer. Source
Karibu
 
Attachments

  • 22-08-2013 08-45-20 WEB ACCELERATO.png
    22-08-2013 08-45-20 WEB ACCELERATO.png
    39.9 KB · Views: 111
mkuu nashkuru kwa uchauri wako pamoja na elimu juu ya hii kitu,nitautendea kazi..........
 
Kwanza Jibu haya Maswali:-
  • Je unafahamu tofauti ya KB/s na Kbps, Au tuseme MB/s na Mbps.
  • Kama umejibu ndio swali la kwanza, Bainisha units za "Internet Speed" na "Data Transfer Speed ".
  • Je IDM inaonyesha "Internet Speed" au ni "Data Transfer Speed ".

IDM yako inasoma 646.009 KB/s ambayo ni 5.168mbps (ukilinganisha) hivyo swali lako siyo Valid [Unachokiuliza ni kupunguza speed Kupata 1mbps (125 KB/s ) 2mbps (250 KB/s ) ]. Kumbuka kama upo eneo zuli la 3g coverage speed ambayo utakuwa unaisoma kwenye idm ni kati ya 500 KB/s hadi 900 KB/s.

Tena huyu apataye hiyo 900KB/s (7.2mbps) inawezekana yupo jirani na mnara na ametumia "IDM optimiser" tena wakati huo ni yeye pekee anatumia internet, Pili kumbuka modem hizi latest tunazotumia maxmamu speed yake ni 7.2mbps na hii mitandao yetu mingine inadai ina coverage 3.75g lakini hamna kitu. huwa inafika kwenye average ya 6.5mbps (Hii inasomeka kwenye dashboard ya modem na siyo kwenye IDM).

NB:

  • Maelezo haya yanawahusu watumiaji wa modem moja.
  • Kumbuka unaweza kutumia modem zaidi ya moja kwa mara moja na kufikisha speed zaidi ya 14mbps [kwenye dashboard ya Dispatcher] hapa nazungumzia watu kama Paje , e2themiza na wengine.
Karibu

Ndugu kichwanazi jiongezee maalifa kwa kupitia hizi links

Data rate units
Code:
http://en.wikipedia.org/wiki/Data_rate_units

KiloBytes vs. kilobits vs. Kibibytes
Code:
http://lyberty.com/encyc/articles/kb_kilobytes.html

mkuu nashkuru kwa uchauri wako pamoja na elimu juu ya hii kitu,nitautendea kazi..........
 
Wana JF kwa pamoja tunaweza, Tuko pamoja Mkuu CORAL . Karibu

Mkuu nimependa hiyo motto. Mkuu mimi nashindwa kuconnect modem mbili kwa wakati mmoja, natumia connectify dispatch, modem yangu moja ni universal na ya pili ni zte ya voda, nikiunganisha zinaunga, lakini nikistart dispatch najikuta pd-proxy inajidisconnect. Au kuna kitu nakosea mkuu.
Natanguliza shukrani.
 
huwezi hio speed yako yenyewe ni around 5mbps na modem za kibongo zinaishia 7. ni imposible kupata 1MBps ya idm kwa modem hz.

Mbona mm nimewai fikisha 1.3Mbps na kwa kutumia modem ya Alcatel onetouch
Basi kama ni hivo si ni bora ku connect PD na Wi-Fi tokea kwenye simu sababu naona ukiwa na wifi ya simu unawekewa 54Mbps.
Lkn pia kumbuka unapokuwa una surf na VPN unakuwa na connection mbili
1.Modem yako
2.Local area connection inayooneshwa kuwa na 10Mbps
Na in really sense the adapter with internet ni hii pili ya 10Mbps
 
case yako ni unique inamaana modem yako imezidi 7.2mbps. ukizihesabu hizo modem hapa nchini pengine hazijafkia hata umri wa mandela.

modem nyingi ni za 7.2 ambazo practically hazifkishi hio speed.

kuhusu simu kutoa speed ya 54mbps hio sio kweli sababu adapter ndo ile ile inayotoa na kureceive. simu flagship kubwa kama s4, lumia 1020 kina htc one wao ndo wanagonga 42mbps ila simu zetu za mafungu za kina tecno na galaxy pocket ujue speed ni 7.2mbps

zipo simu chache low end zenye chip ya s4(simu za krait) zina speed ya 21mbps na baadhi ya chip za mediatek (japo sjaconfirm)
 
Mbona mm nimewai fikisha 1.3Mbps na kwa kutumia modem ya Alcatel onetouch
Basi kama ni hivo si ni bora ku connect PD na Wi-Fi tokea kwenye simu sababu naona ukiwa na wifi ya simu unawekewa 54Mbps.
Lkn pia kumbuka unapokuwa una surf na VPN unakuwa na connection mbili
1.Modem yako
2.Local area connection inayooneshwa kuwa na 10Mbps
Na in really sense the adapter with internet ni hii pili ya 10Mbps
  • Alcatel onetouch ni 7.2mbps hii modem nilikuwa nayo. Walikuwa wakiziuza "eateli"
  • 1.3Mbps hapana Siyo kwenye IDM, Labda ulimaanisha 1.3Mb/s kwenye IDM hapa sawa, Kumbuka 1.3Mbps ni sawa na 162.5Kb/s , na 1.3Mb/s ni sawa na 10.4mbps [hii inatakiwa isomeke kwenye Connectify Dispatcher] kama unatumia internet adapter zaidi ya moja.
  • Muanzisha mada nilimuuliza maswali ya msingi matatu. tatizo alilokuwanalo kwenye units ndilo nawe umelidhihilisha hapa. Soma kwenye linki 1 na 2. Utaelewa.
  • Unapozungumzi 54Mbps hii ni sawa na 6.75Mb/s hii ni capacity ya hiyo simu ya internet, mmh! sio kweli. Swali je ISP wako uwezo wake ni upi?. Kumbuka kile ukisomacho kwenye dashboard ni mbps na siyo mb/s
Mkuu njunwa wamavoko jiweke sawa na hivi data units kisha njoo tushirikishane.

Assignment yako hii njunwa teh teh ....
  • Badili 5Mb/s kwenda ___Mbps

ninachokimaanisha hiki hapa chini
Wifi strength.PNGpd proxy max speed.PNG

attachment.php

chief-mkwawa angaliahiyo wifi status kutoka wifi tethering kwenye tecno p3
Mwl.RCT Naomba darasa la conversion maana link zako nimechora zombie
pia naomba program nzuri ya kuedit picha kama yako ya cproxy maana mm nimeshindwa hata choya pd proxy

Mwisho kabisa anaye bisha kwamba the real connection sio hiyo ya local area connection akonnect na PD afu ashare Wi-Fi kwa kutumia Tigo Tz aone kama itakubali

Kwa speed za 1MB BILAKUTUMIA CONNECTIFY DISPATCH INGIA HUU UZI
https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/469274-tigo-hadi-raha-dah-4.html
 
ninachokimaanisha hiki hapa chini
View attachment 108494View attachment 108495

attachment.php

chief-mkwawa angaliahiyo wifi status kutoka wifi tethering kwenye tecno p3
Mwl.RCT Naomba darasa la conversion maana link zako nimechora zombie
pia naomba program nzuri ya kuedit picha kama yako ya cproxy maana mm nimeshindwa hata choya pd proxy

Mwisho kabisa anaye bisha kwamba the real connection sio hiyo ya local area connection akonnect na PD afu ashare Wi-Fi kwa kutumia Tigo Tz aone kama itakubali

Kwa speed za 1MB BILAKUTUMIA CONNECTIFY DISPATCH INGIA HUU UZI
https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/469274-tigo-hadi-raha-dah-4.html

Safi kabisa.
  • Picha ya IDM na hizo wifi status zina-akisi kitu nilicho kufafanulia hapo juu.
  • Yes IDM ni Mb/s na hizo wifi status ni Mbps.
Conversion ya Units
  • Tazama Picha kwa umakini, Yaani 1Byte = 8bits (Hii ndio kanuni)
22-08-2013 16-01-03.png
​
Hili hatuja kataa, Tatizo ni wewe kujichanganya katika units, na kwa vile umeshatambua ndio sababu hapo kwenye red hujamaliazia.

Ok, Wana JF kwa pamoja Tunaweza.

Karibu
 
Asante mkuu Mwl.RCT kwa elimu maana mm nilijua 1Mbps ni kifupi cha 1Mb per second ambayo nikajua ni sawa na 1Mb/s
Lol!Kweli elimu ni bahari haina mwisho.

Lkn ombi langu moja bado rejea tena
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom