pd proxy internet speed

pd proxy internet speed

As a conclusion the speakers of these quotes should come up with na jibu ya hii 54Mbps greater than ya ISP 7.2Mbps

Unapozungumzi 54Mbps hii ni sawa na 6.75Mb/s hii ni capacity ya hiyo simu ya internet, mmh! sio kweli. Swali je ISP wako uwezo wake ni upi?. Kumbuka kile ukisomacho kwenye dashboard ni mbps na siyo mb/s

kuhusu simu kutoa speed ya 54mbps hio sio kweli sababu adapter ndo ile ile inayotoa na kureceive. simu flagship kubwa kama s4, lumia 1020 kina htc one wao ndo wanagonga 42mbps ila simu zetu za mafungu za kina tecno na galaxy pocket ujue speed ni 7.2mbps
 
Asante mkuu Mwl.RCT kwa elimu maana mm nilijua 1Mbps ni kifupi cha 1Mb per second ambayo nikajua ni sawa na 1Mb/s
Lol!Kweli elimu ni bahari haina mwisho.

Lkn ombi langu moja bado rejea tena

mkuu unawezaje kukonect tigo ambayo ina tsh.0.00 ili niweze tumia kwenye pd proxy sababu nimeona umeelezea kwamba unatumia....!!!
 
Last edited by a moderator:
mkuu unawezaje kukonect tigo ambayo ina tsh.0.00 ili niweze tumia kwenye pd proxy sababu nimeona umeelezea kwamba unatumia....!!!

usikariri 0sh kwa style hiyo uwez fikiria ujanja nje ya box.
Kila vpn ina auto-dial modem na pd inclusive.Use it,madeveloper hawajaiweka bahati mbaya.
REGARDS
 
usikariri 0sh kwa style hiyo uwez fikiria ujanja nje ya box.
Kila vpn ina auto-dial modem na pd inclusive.Use it,madeveloper hawajaiweka bahati mbaya.
REGARDS

mhh hapo bado sijakusoma mkuu una maana gani,embu nifafanulie vizuri kwa maana bado umeniweka njia panda .....embu jaribu kuniweka sawa katika hilo ili niweze kukuelewa na nijue ni jinsi gani nitafanikiwa katika hilo.......!!!!!!
 
tofauti kati ya mbps na mb/s zilikuwa zinanichanganya sana mpk nilipoamua kugoogle kwa sasa kidogo nimepata mwanga kwa watakoukuwa intersted pitieni hapa
.

difference btn: Mbps and MBps.

The first one is Megabit Per Seconds (Mbps), this is the measure of a network bandwidth. We use it when we are talking about bandwidth of a network, for example:

When your Internet Service Provider (Who provide you internet access, always is a telecommunication company), tell your internet speed their are talking about network bandwidth... Which are for example 128, 256, 300, 512, 600 Kbps. and also can be 1, 2 and so on Mbps.

The second one is Megabyte Per Seconds, this one is used for data transfer, for example:

When you download Firefox or Internet Explorer there is the data transfer unit KBps.

Okay, about your question, if your internet provider say, you have 6 MegaBits Per Seconds(Mbps), you must have 750 KiloByte per Seconds. But that number is theoretically in other words you always is going to lose some KBps, because the medium(cooper cable), where the data transfer, the cable isn't 100% conductor, because that you can have maybe 685 KBps.

Where you can download Mozilla Firefox with 7.1MB in 9.69 Seconds!!!...
Super fast .... :>) Wow...

Key term:

1 MegaByte = 1024 KiloByte

1 KiloByte = 1024 Byte

1 Byte = 8 bit

To convert Megabit Per Second do the following:

Getting your network bandwidth

6 Mbps * 1024 Kbps
------------- = 6144 Kbps
1 Mbps

6 Mbps (Mega bit per Second)= 6144 Kbps(Kilo bit per Second)

6144 Kbps * 1 KBps
----------= 768 KBps(Data Transfer)
8 Kbps

The upper case "B" represent Byte.
The Lower case "b" represent bit.
 
  • Utakuwa na uwezo wa ku_download/ku_upload bila kikomo.
  • Kutazama onlineTV 24/7.
  • Kutazama/kutembelea "reginal restricted site" mfano VEVO, NETFLIX, HULU nk.
Kwa cost ya wastani wa tsh 334/- Per day [Yaani buku 10 kwa siku 30], Kwa ufafanuzi zaidi Tumia hiyo namba [sms], Au njoo chemba kwa PM.

Karibu.

ni lazima uwe dar au hata huku vijijini kwetu?
 
wakuu nawezaje kukonect kwenye mtandao wa kibajaji
ambayo ina tsh.0.00 ili niweze
tumia kwenye pd proxy,nimeona kuna baadhi ya watu wanaizungumzia hii kitu kwamba wanatumia hata kwenye kibajaji,nimejaribu kuulizia but sijapata majibu yaliyonyooka.......kama kuna yeyote mwenye uelewa juu ya hili anifafanulie tafadhali......!!!!!!
 
wakuu nawezaje kukonect tigo
ambayo ina tsh.0.00 ili niweze
tumia kwenye pd proxy,nimeona kuna baadhi ya watu wanaizungumzia hii kitu kwamba wanatumia hata kwenye tigo,nimejaribu kuulizia but sijapata majibu yaliyonyooka.......kama kuna yeyote mwenye uelewa juu ya hili anifafanulie tafadhali......!!!!!!

mmmhhh!!! Ukifanikiwa na mimi nifahamishe.
 
wakuu nawezaje kukonect tigo
ambayo ina tsh.0.00 ili niweze
tumia kwenye pd proxy,nimeona kuna baadhi ya watu wanaizungumzia hii kitu kwamba wanatumia hata kwenye tigo,nimejaribu kuulizia but sijapata majibu yaliyonyooka.......kama kuna yeyote mwenye uelewa juu ya hili anifafanulie tafadhali......!!!!!!

Unaongea Vitu impossible tu.
Mm nakucheki tu!Unaijua free site ya Airtel au Tigo?Basi chezesha kichwa na tumia HTTP proxy kutoboa firewal zao ndani ya TCP protocol.
Mind you if the free site is not under administratorz guide no balance deduction.
kumbe chakufanya lazima uweke min. balance ili uki auto-connect modem na pd proxy,unaanza mara moja ku-utilize hiyo free site.mfano airtel walikuwa na wap.tz.airtellive.com sasa wana hii ya kucheza games unlimited free http://games.tz.airtellive.com

THINK LIKE A HACKER.
 
Back
Top Bottom