Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,580
Big up Wambili,Kuhanda a.k.a Mrundi na Awadh a.k.a Osama mmesikia hotuba ya Waziri Mkuu Mteule Mh. Pinda? "Yaliyopita si ndwele tugange yajayo" Msaidieni Dk Hoseah kupambana na Rushwa,zingatieni masomo yenu badala ya kuzunguka maofisi ya Serikali na kwa watu binafsi kuuza maneno.Kumbe Mh.Mbunge wa Simanjiro TAKUKURU walishaku-tight? Unadhani utaimaliza kesi kwa kuikoromea TAKUKURU? Tumeiona dhamira yako,huko ndio kuwawakilsha wananchi waliokutuma bungeni? TAKUKURU MSIRUDI NYUMA KWA MANENO YA WANASIASA,WASAIDIENI WATANZANIA,IMANI YETU IPO KWENU.Jamani tuwe macho na hawa Wanasiasa na wasioitakia mema Takukuru,msitake kupindisha mjadala kwa kuandika masuala yanayomuhusu Dk. Hoseah,ninafahamu kwamba;
Uchunguzi walioufanya Takukuru kama ilivyokuwa kwenye sheria yao ya zamani ulihusu rushwa,na Dk Mwakyembe ktk taarifa yake hakuna sehemu aliyozungumzia kwamba kuna rushwa fulani waliyoiona ambayo Takukuru hawakuifanyia kazi
Na hata ripoti waliyotoa hawakuzuia vyombo vingine kama PPRA visifanyie kazi,nikiikumbuka ile taarifa yao walisema kuwa serikali haikupata hasara hadi wakati ule kwa sababu hakukuwepo pesa iliyolipwa,sasa ulitaka Takukuru wawe wanasiasa kwa kusema wananchi walikuwa gizani hivyo Serikali ilipata hasara na ushahidi huo wapeleke mahakamani?
Tusiwaonee Takukuru na Dk Hoseah,kwa uelewa wangu mdogo wa utumishi wa umma Dk Hoseah siyo ngazi ya uteuzi wa Wakurugenzi,wanateuliwa na Rais,usipotoshe umma kwa kuwadanganya Wananchi kuwa yeye aliteua Wakurugenzi dhaifu,ninachofahamu mimi hao Wakurugenzi wana uzoefu wa muda mrefu kwenye utumishi wa umma,udhaifu wao upo wapi? Kwenye kujibu maswali?
Umedai Dk Hoseah aliikimbia kamati ya Richmond,ulitaka aende nani kama siye Mkurugenzi wa uchunguzi anayesimamia masuala yote ya uchunguzi Takukuru?
Mwacheni Dk Hoseah aitengeneze Takukuru vizuri,kwani hatujui kwamba wakati wa Gen Kamazima wewe Alex Kuhanda na Awadh Mohamed mlikuwa miungu watu? Marupurupu mangapi mlikuwa mkiyapata ambayo watumishi wenzenu walikuwa hawayapati? Ninafahamu kuwa Dk Hoseah kaifanya Takukuru imekuwa ya wote, kawadhibiti kisawasawa,suala la wewe Awadh kushindwa hata kunyoa ndevu,nalo ni la Dk Hoseah? Nani alikutuma uoe wake zaidi ya wawili? nyie endeleeni na juhudi zenu za kupeleka maneno huko na huko ya majungu,hamuwezi kuupotosha umma.Wabunge mliokamatwa na Rushwa tunawajua,tumewaona mnavyochangia kwa kuonyesha chuki zenu,mlitaka msikamatwe? ITENDEENI HAKI TAKUKURU,MTENDEENI HAKI DR HOSEAH.

Mrisho kutokana na uzoefu wangu nakubaliana nawe kwa mengi sana .Hosea ni msabato Fisadi mkubwa na a very opportunist person. Lakini yote hata namwaga lawama kwa JK .Alimpa asante kwa kushiriki siasa za kipuuzi za kumsaidia kummaliza Sumaye .Dhambi ile inaitafuna Serikali ya JK sasa . Mfungo ni msanii kiasi . Kuna issue nilimkalia kooni alionekana sincere lakini si mwelewa hata exposure yake ndogo .Zaidi nadhani anapenda ama alikuwa anafuata habari za bwana mkubwa Hosea .Naomba kwa kuwa Hosea kesha ondoka sasa Mwanasheria Mkuu please leave our office .
M....Naomba kwa kuwa Hosea kesha ondoka sasa Mwanasheria Mkuu please leave our office ...
Is it confirmed that Hosea is on his way out?
Jamani tuwe macho na hawa Wanasiasa na wasioitakia mema Takukuru,msitake kupindisha mjadala kwa kuandika masuala yanayomuhusu Dk. Hoseah,ninafahamu kwamba;
Uchunguzi walioufanya Takukuru kama ilivyokuwa kwenye sheria yao ya zamani ulihusu rushwa,na Dk Mwakyembe ktk taarifa yake hakuna sehemu aliyozungumzia kwamba kuna rushwa fulani waliyoiona ambayo Takukuru hawakuifanyia kazi
Na hata ripoti waliyotoa hawakuzuia vyombo vingine kama PPRA visifanyie kazi,nikiikumbuka ile taarifa yao walisema kuwa serikali haikupata hasara hadi wakati ule kwa sababu hakukuwepo pesa iliyolipwa,sasa ulitaka Takukuru wawe wanasiasa kwa kusema wananchi walikuwa gizani hivyo Serikali ilipata hasara na ushahidi huo wapeleke mahakamani?
Tusiwaonee Takukuru na Dk Hoseah,kwa uelewa wangu mdogo wa utumishi wa umma Dk Hoseah siyo ngazi ya uteuzi wa Wakurugenzi,wanateuliwa na Rais,usipotoshe umma kwa kuwadanganya Wananchi kuwa yeye aliteua Wakurugenzi dhaifu,ninachofahamu mimi hao Wakurugenzi wana uzoefu wa muda mrefu kwenye utumishi wa umma,udhaifu wao upo wapi? Kwenye kujibu maswali?
Umedai Dk Hoseah aliikimbia kamati ya Richmond,ulitaka aende nani kama siye Mkurugenzi wa uchunguzi anayesimamia masuala yote ya uchunguzi Takukuru?
Mwacheni Dk Hoseah aitengeneze Takukuru vizuri,kwani hatujui kwamba wakati wa Gen Kamazima wewe Alex Kuhanda na Awadh Mohamed mlikuwa miungu watu? Marupurupu mangapi mlikuwa mkiyapata ambayo watumishi wenzenu walikuwa hawayapati? Ninafahamu kuwa Dk Hoseah kaifanya Takukuru imekuwa ya wote, kawadhibiti kisawasawa,suala la wewe Awadh kushindwa hata kunyoa ndevu,nalo ni la Dk Hoseah? Nani alikutuma uoe wake zaidi ya wawili? nyie endeleeni na juhudi zenu za kupeleka maneno huko na huko ya majungu,hamuwezi kuupotosha umma.Wabunge mliokamatwa na Rushwa tunawajua,tumewaona mnavyochangia kwa kuonyesha chuki zenu,mlitaka msikamatwe? ITENDEENI HAKI TAKUKURU,MTENDEENI HAKI DR HOSEAH.
Kuvunja PCCB sidhan kama litakuwa jambo la busara..ila Uongozi wa PCCB unahitaji mabadiliko makubwa sana kwa sasa..huenda chini ya Utendaji wa bwana PM.M.K.P.Pinda unaweza kufanya kazi kwa ufanisi na uwazi zaidi.Pili nilipenda mawazo ya mbunge mmoja alipendekeza iundwe tume ambayo itakuwa inashughulikia mikataba mikubwa ambayo inchi inaingia,faida zake na hasara kwa taifa.Nadhan kwa kufanya hivyo kutapunguza matatizo kama yaliyojitokeza kwenye Buzwagi,richmonduli na kwingineko..hata huyu bwana kichaka,George anaekuja kesho huenda akataka kuweka mradi huku kwetu..iwe kwenye mafuta au mbugani huko hii tume iwe na wajibu wa kuichunguza kama nchi itanufaika au ilamba galasa.
This is no brainer, Ivunjwe haraka sana; na ikibidi ajiri expatriates unaoweza kuwawajibisha bila kuwaonea soni, kama sisi wenyewe hatuwezi kazi. Drastic measures for drastic situations - this is one amongst the many such situations we face in our country at the moment.
Kama ni Expatriate basi tunahitaji expatriate President yanini kufanya mambo nusu nusu?